Ache ungeseeeeHeshima sana wanajamvi,
Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.
Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.
Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.
Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.
Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Wewe ndio hauko salamaTukubali tukatae mkiti wetu si salama kivile upande wa pesa ya chama, mengine tunafunika kombe
Leo nakuambia hivii, Hakuna Mtu mlaini kama Lema. Trust MeSugu,Mbowe,Msigwa,Lisu,Wenje hawa tayari washaelekea kibla.
mgumu ni Heche na Lema.
👆
hao awanaga kazi chafu.
Heshima sana wanajamvi,
Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.
Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.
Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.
Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.
Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Sioni tatizo la jibu la mwandishi kupata taarifa sahihi toka kwa kiongozi mwingine ndani ya chama.Heshima sana wanajamvi,
Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.
Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.
Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.
Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.
Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Kuna mahali panatia shaka na maswali mengi sana, hasa kwenye suala la pesaUkweli uko wazi, Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, hilo halina ubishi. Haya yote yanatokea kwasababu ya cheo chake.
Siyo cheo tu sasa hivi, kuna ya ziada.Ukweli uko wazi, Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, hilo halina ubishi. Haya yote yanatokea kwasababu ya cheo chake.
Alipofanya kazi TANAPA aliwahi kutuhumiwa kwa chochote akiwa ofisini?Kitu ambacho sielewi kwanini Lissu uwa aongelei kama alishafanya kazi TANAPA.
Mimi nimewahi kumuona Lissu kwenye BBC wildlife documentary kama afisa mtaalamu wa TANAPA akielezea kuhusu historia ya ‘Olduvai Gorge‘ alikuwa young kweli.
Hiko siku nitaitafuta mpaka niipate ile documentary alikuwa bado kijana sana, Nina uhakika wa hiko kitu 100% Lissu kafanya kazi TANAPA.
Shida yangu kwanini hiyo historia uwa aitaji kwenye CV yake.Alipofanya kazi TANAPA aliwahi kutuhumiwa kwa chochote akiwa ofisini?
Unahisi kuna mahala alipaswa kueleza kuwa alifanya kazi TANAPA na hakueleza?
AbsolutelyMwacheni Lissu aseme. Anatimiza haki yake kikatiba.
Sawa sawa kabisa.Tundu Lissu is very honest. Anasema maswali yanayoulizwa ni mazuri na yanahitaji kujibiwa kwa nyaraka za ushahidi. Na wanaouliza wana haki hiyo na wanapaswa kujibiwa..
Lissu si mtunza hazina wa Chadema, wewe kwa kutokujua taratibu za vyama unataka ajibu kuhusu fedha za chama wakati hahusiki na idara ya utunzaji fedha na wala yeye si msemaji wa chama. CCM inao utaratibu wa hovyo ambao kila mwanachama ni msemaji wa chama! Lissu amesema yeye si mjinga hawezi kujiunga na CCM kwa sababu hana akili za hovyo kama zakoHeshima sana wanajamvi,
Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.
Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.
Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.
Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.
Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Nikisoma mitandaoni watu wanavyo comment kuhusu interviews au matamko ya Tundu Lissu huwa nabaki najiuliza lakini nikienda kumsikiliza mimi mwenyewe huwa naishia kushangaa sana kuhusu uelewa wa watanzania.Heshima sana wanajamvi,
Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.
Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.
Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.
Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.
Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Alichosema ni sahihi isipokuwa aliyeulizwa si mtu sahihi kuyajibu, hivyo tumia akili ya kumtafuta muhusika akupe jibu, si kila mwanachama ni msemaji wa chama.Sawa sawa kabisa.
Na wakati akiyasema haya anajuwa wazi kuwa kazi inazidi kuwa ngumu sana kwa chama chake na kwake kama atapeperusha bendera ya chama kwenye chaguzi zijazo
Bila ya maswali haya kujibiwa na kuwaridhisha wananchi, CHADEMA wasahau kabisa habari ya ushindi wa chaguzi zinazo fuata.