Interview za Lissu zinaacha maswali mengi kuliko majibu

Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Ache ungeseeee
 
Ndg.Lissu atuwekee CCTV FOOTAGE ya tuhuma zake za kutaka kuhongwa....pale nyumbani kwake ana CCTV CAMERA...
 
Sugu,Mbowe,Msigwa,Lisu,Wenje hawa tayari washaelekea kibla.

mgumu ni Heche na Lema.
👆
hao awanaga kazi chafu.
Leo nakuambia hivii, Hakuna Mtu mlaini kama Lema. Trust Me

Usitishwe na maneno yake....kinachompa kiburi ni kwsbb bado hajala pesa za Chama dola, wenzake hapo wameshakula pesa za watu hivyo hawana ujanja wanaogopa kuaibishwa....kasoro LISSU TU

Tamaa mbaya sana.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.

Hiyo mifano unazungumzia interview gani specifically?
 
Kitu ambacho sielewi kwanini Lissu uwa aongelei kama alishafanya kazi TANAPA.

Mimi nimewahi kumuona Lissu kwenye BBC wildlife documentary kama afisa mtaalamu wa TANAPA akielezea kuhusu historia ya ‘Olduvai Gorge‘ alikuwa young kweli.

Hiko siku nitaitafuta mpaka niipate ile documentary alikuwa bado kijana sana, Nina uhakika wa hiko kitu 100% Lissu kafanya kazi TANAPA.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Sioni tatizo la jibu la mwandishi kupata taarifa sahihi toka kwa kiongozi mwingine ndani ya chama.

Kuhusu Msigwa, nami natamani angefafanua zaidi ya alivyo fanya kwenye jibu lake.

Msigwa siyo mtu wa kusifiwa tena ndani ya CHADEMA; hata kama udanganyifu wake ndani ya chama hicho aliuficha kiustadi sana, hadi alipo amua kuondoka kwa vile kaporwa nafasi ya uongozi (mwisho wa udanganyifu wake).

Lissu ajiepushe kabisa na maswala ya Msigwa, huyo ndiye anayeweza kuwa chambo cha kuharibu kila kitu kwa Tundu Lissu.
 
Ukweli uko wazi, Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, hilo halina ubishi. Haya yote yanatokea kwasababu ya cheo chake.
Kuna mahali panatia shaka na maswali mengi sana, hasa kwenye suala la pesa
 
Ukweli uko wazi, Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, hilo halina ubishi. Haya yote yanatokea kwasababu ya cheo chake.
Siyo cheo tu sasa hivi, kuna ya ziada.

Mbowe amekuwa kama alivyo Raila Odinga huko Kenya.

'Model' hiyo hiyo inatengenezwa hapa Tanzania.
 
Kitu ambacho sielewi kwanini Lissu uwa aongelei kama alishafanya kazi TANAPA.

Mimi nimewahi kumuona Lissu kwenye BBC wildlife documentary kama afisa mtaalamu wa TANAPA akielezea kuhusu historia ya ‘Olduvai Gorge‘ alikuwa young kweli.

Hiko siku nitaitafuta mpaka niipate ile documentary alikuwa bado kijana sana, Nina uhakika wa hiko kitu 100% Lissu kafanya kazi TANAPA.
Alipofanya kazi TANAPA aliwahi kutuhumiwa kwa chochote akiwa ofisini?

Unahisi kuna mahala alipaswa kueleza kuwa alifanya kazi TANAPA na hakueleza?
 
Shida yangu kwanini hiyo historia uwa aitaji kwenye CV yake.

I am not accusing him of anything, only that why he doesn’t acknowledges that history.
 
Tundu Lissu is very honest. Anasema maswali yanayoulizwa ni mazuri na yanahitaji kujibiwa kwa nyaraka za ushahidi. Na wanaouliza wana haki hiyo na wanapaswa kujibiwa..
Sawa sawa kabisa.

Na wakati akiyasema haya anajuwa wazi kuwa kazi inazidi kuwa ngumu sana kwa chama chake na kwake kama atapeperusha bendera ya chama kwenye chaguzi zijazo
Bila ya maswali haya kujibiwa na kuwaridhisha wananchi, CHADEMA wasahau kabisa habari ya ushindi wa chaguzi zinazo fuata.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Lissu si mtunza hazina wa Chadema, wewe kwa kutokujua taratibu za vyama unataka ajibu kuhusu fedha za chama wakati hahusiki na idara ya utunzaji fedha na wala yeye si msemaji wa chama. CCM inao utaratibu wa hovyo ambao kila mwanachama ni msemaji wa chama! Lissu amesema yeye si mjinga hawezi kujiunga na CCM kwa sababu hana akili za hovyo kama zako
 
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Nikisoma mitandaoni watu wanavyo comment kuhusu interviews au matamko ya Tundu Lissu huwa nabaki najiuliza lakini nikienda kumsikiliza mimi mwenyewe huwa naishia kushangaa sana kuhusu uelewa wa watanzania.
Ukimsikiliza Lissu, huwa yupo very straight, sijawaona kwanini watu wanamtafsiri watakavyo, uongeaji na hoja za Lissu ni ngao kwa CHADEMA, anaisaidia zaidi CHADEMA. Mfano hilo la kutaka aulizwe Mnyika kuhusu hela, hilo ni jambo la kikatiba na kisheria na amefafanua kwamba kwa nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti hilo si kati ya Mambo yaliyo kwenye nafasi yake kuyaongelea ila kwakuwa ana imani kila kitu kipo sawa, basi ni vyema tuhuma hizo zijubiwe sababu records zote zipo.
 
Sawa sawa kabisa.

Na wakati akiyasema haya anajuwa wazi kuwa kazi inazidi kuwa ngumu sana kwa chama chake na kwake kama atapeperusha bendera ya chama kwenye chaguzi zijazo
Bila ya maswali haya kujibiwa na kuwaridhisha wananchi, CHADEMA wasahau kabisa habari ya ushindi wa chaguzi zinazo fuata.
Alichosema ni sahihi isipokuwa aliyeulizwa si mtu sahihi kuyajibu, hivyo tumia akili ya kumtafuta muhusika akupe jibu, si kila mwanachama ni msemaji wa chama.
 
Back
Top Bottom