iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

Sisi kama Apple Fans tumesema hata walete simu kwenye mfuko wa plastics hatuachi kununua iPhone au bidhaa zao tumefunga nao ndoa ya kikatoliki hatuachani kamwe hii iPhone12 ni Simu sio kitoto kwanza lile umbi lake kuishika unafeel haswa,Nimesema hata walete simu Zao Betri unanunua peke ake nitaendelea kua Team Apple mpaka wakufe ndio nitaacha.[emoji16] APPLE FOREVER[emoji3590]
 
Maisha yanaenda kasi sana na tenoloji inabadilika sana, just imagine leo intel kakabwa koo na AMD taratibu taratibu japo bado lakini anamtisha tisha
Technology inaendelea kwa kasi sana, lakini nchi yetu iko busy kuzima mitandao watu wasipate access ya technology. Dah
 
Tulia wewe. Hawakulipi hao
 
una neno gani la kuwaambia wenye iphone 11 mpaka saa hizi[emoji2960][emoji2960].
 
Sijaona logic ya iphone kuto include earphone na charger kwa kisingizio cha kutunza mazingira [emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
una neno gani la kuwaambia wenye iphone 11 mpaka saa hizi[emoji2960][emoji2960].

Wajipige pige mifuko wauze 11 hiyo waje huku 12 ni milion 2.8 tu kwa Pesa za Ki Tz sie wengine hatutak kupitwa kitu
 
Haya mambo tunalalamikia sisi waafrica ambao sio dedicated market yao, Yaani mswahili mimi niwalalamikie apple kuwa kitu kikialibika sijui spare wakati wateja wao simu zikisumbua kidogo zinafanyiwa refurb then tunauziwa sisi huku. Hizo features walizoweka ni favourable kwa soko lao, sisi tungekuwa soko lao wangetuwekea dealel.
 

Bora umeandika wewe wengi wanaolia lia humu kwanza unakuta ana ki iPhone 5 kimechakaa au ana Tecno ya 170k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watuachw tunaoweza badili simu za apple kila mwaka
 
Bora umeandika wewe wengi wanaolia lia humu kwanza unakuta ana ki iPhone 5 kimechakaa au ana Tecno ya 170k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watuachw tunaoweza badili simu za apple kila mwaka
huu ugonjwa unawakita sana watumiaji wa I phone haswa wageni...
.
bas ukishakuwa na iyo iphon x au 11 unaona ushamaliza dunia nzima wakt nyumbani kwako unamatatizi kibao...
.
pole sana...
 
Note 20 ultra charger yake tofauti kabisa headphone pin tofauti kabisa wala huwezi kuazimana na yoyote kwa sasa.
 
huu ugonjwa unawakita sana watumiaji wa I phone haswa wageni...
.
bas ukishakuwa na iyo iphon x au 11 unaona ushamaliza dunia nzima wakt nyumbani kwako unamatatizi kibao...
.
pole sana...

Team iPhone since 2007 na Kila mwaka nabadili Simu wakitoa na Team Apple toka 2004 kwenye zile iPod sasa sijui una jipya gani matatizo unayo wewe maskini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umeongea tofauti na ulichoongea mwanzo, mwanzo uliongelea past tense kwamba Apple haiwezi kufa sababu ina fans wengi unlike Nokia na Blackberry.

Nokia alikuwa na Fans wengi kuliko kampuni yoyote ile, peak Nokia walikuwa wanauza simu mpaka milioni 500 kwa mwaka, nenda Nchi zenye watu wengi Ukitoa Us kama Russia, China, Brazil, India, indonesia, Nigeria, Egpty etc kote Huku Nokia ilikuwa inafahamika zaidi.
 
Tunapoongelea capacity hakuna Anaemfikia Amazon kwenye Cloud, jamaa ni wa zamani na wana power karibia nusu nzima ya Cloud system zote duniani.

Azure ni ya Pili nyuma Ya Amazon, hawajafikia Level za AWS ila huwezi ku ignore utaalamu wa Microsoft wanapodeal na Biashara kubwa, na unaponunua kwa Microsoft kama biashara unapata integration nzuri na Exchange, 365 etc ambayo watakuwa wanatumia.

Pia ukiangalia serikali huwa haipendi monopoly, Aws sababu wana marketshare kubwa kwao inapendeza wakimsaidia mwengine, kipindi cha Windows phone pia NYC walitumia Lumia badala ya iphone na Android

Kuhusu stadia kiasi fulani wamefanikiwa sema quality wise Nvidia na Msft wapo vizuri.
 
Google Stadia haifanyi vizuri. Kwa sasa Geforce Now na Xbox Gamepass ndio zinafanya vizuri
Gamepass sio cloud system bali ni aina ya ununuaji game kwa kulipia kila mwezi, games zake unadownload na kucheza offline.

Cloud system ya microsoft inaitwa project Xcloud
 
Hii Technology ipo pia kwenye tonner za HP printers,Iwapo utaweka fake au ,refub Tonner printer inagoma kufanya kazi,Katika hii technology kwenye kifaa husika kunawekwa Programmerble chip yenye kutoa uhalisia...ila wachina wakaja na programing kit ambayo inafake info na fake tonners zinakubali,so ata kwa Iphone itakuwa hivyo
 
Note 20 ultra charger yake tofauti kabisa headphone pin tofauti kabisa wala huwezi kuazimana na yoyote kwa sasa.
Nadhan unacho maanisha ni kwamba wanatumia Type C to Type C cable baadala ya Type C to Type A iliyokua inatumika zaman. Type C sio kitu kipya, simu kibao zinazo. Kuanzia A20 kwenda juu zote zinatumia Type C. Na unaweza tumia Type C to Type A hata kwenye note 20. Ile ni cable tu mzee. Pia earphones wanazokupa ni za Type C pia kwasabab headphone jack (3.5 mm jack) imetolewa. Tena ni kuanzia S10 huko.

Angalia hzo picha hapo mbili, moja ni Type C to Type C, ya pili ni Type C to type A ndio tulizozoea

 

Attachments

  • in-cable-combo-dg930-ep-dg930ibegin-frontblack-119451395.jpeg.jpg
    14.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…