iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

🀣🀣wanapiga hataree. ni bora uuze simu separatelyπŸ‘πŸ‘
 
Kwa teknolojia ilipofikia sahivi, ni maboresho madogo madogo tu ndio tunayapata tusitegemee mabadiriko makubwa.

Unanunua Simu ya Milion 2, inakamera kali, unapiga, ili upost watu wakuone Insta, kumbe anae view ana simu ya laki 1 na nusu, usitegemee picha itaonekana kali.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… watu wamekuwa wapiga picha siku hizi... kama huna upenzi wa picha ndio unabaki kama na toi.. Kuna siku nilinunua simu flani.. nikajikuta kama haina kazi.. niliumia sana ,kuanzia hapo.. simu ikizidi bei kubwa laki moja..
 
Acha uongo πŸ˜ƒ
 
Nimenuukuu tu uko BBC.

Ulimwenguni kote, mauzo ya simu za smartphone kwa ujumla yanapungua, na simu yenye kutarajiwa kuwa na mazingira ya uhalisia halisi ya Apple - ambayo kampuni ilionekana kuiweka kama iPhone ya siku za usoni - haitauzwa hadi mwaka ujao.

Wakati utakapowadia, itauzwa kwa bei ya juu kabisa ya $3,500 (Β£2,780).
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… watu wamekuwa wapiga picha siku hizi... kama huna upenzi wa picha ndio unabaki kama na toi.. Kuna siku nilinunua simu flani.. nikajikuta kama haina kazi.. niliumia sana ,kuanzia hapo.. simu ikizidi bei kubwa laki moja..
Mi nina rule moja. Simu yangu inakua toleo la nyuma kwa demu wangu. Kama yeye ana iPhone X mi nakua na 8, yeye ana S20 mi nina S10.

Ukimzidi tu, anaomba exchange.
 
Bishara ili uwini, sio lazima utengeneze faidaa kubwaa kwa kuumiza mteja.. pata faida yako ambayo ni haki yako.. ila mzigo unatoja na unazunguka na hata nilikuwa nikichoka tumia simu namcheki namuuzia anaipiga bei kwa punguzo dogo sana
Mtag nifanye naye biashara simu yangu kama nimeichoka hiviπŸ€£πŸ˜‚
 
Kwani wanakuomba hizo pesa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…