Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

Unajua,tujifunze maana ya uhuru wa mtu kutoa maoni,na mzee mwinyi hajaongea kitu kibaya,mradi tu kiridhiwe na watanzania wote,na sababu zake amezitoa kwanini anaomba magu apewe zawadi ya miaka 5 kuongoza
 
Acha uongo! Hussein ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi, Mke wa Mwinyi ni Mwarabu incase you didn't know!
Achana na mimi wewe,uliwai kwenda Uarabuni kufanya biashara na mama huyu alikua afanyi biashara huko sasa unataka kusema mtoto wa rafiki na Waarabu dada lazma asizae na uzao wa kiarabu.
THANKS OMAN
 
Achana na mimi wewe,uliwai kwenda Uarabuni kufanya biashara na mama huyu alikua afanyi biashara huko sasa unataka kusema mtoto wa rafiki na Waarabu dada lazma asizae na uzao wa kiarabu.
THANKS OMAN

Wivu ni Kidonda. Get well soon!!!
 
analipa fadhila mtoto wake wanainchi wasipige kura
 
Unapoenda uzeeni . Ni sawa na kurudi utotoni huku ukifahamu mengi . Kachemka hapo.
 
Nyerere hakujua kama atakuja kukengeuka
 
Ukweli lazima usemwe ni vizuri Mzee wetu asihudhurie tena vikao vya CCM mpya ya live! Mzee wetu akili zimerudi za utoto! mi niliweka uzi humu JF nilishauri wazee wasiwe laws and policy makers kuanzia wabunge na hapa ushahidi umepatikana! Mzee Mwinyi anashauri katiba ivunjwe halafu umri umeenda sana yatayotokea akiwa kwa Mola wake inaitwa mtajiju mi simo!
 
Ali Hassan Mwinyi Ni mpigania Uhuru watoto wengi na wajukuu zao wengi wavuta bangi na walevi wawe wa Nyerere na wapigania Uhuru wenzie hawajiheshimu.Raisi Mwinyi tu mpigania Uhuru ndio kaweza kulea wanawe vizuri

Mbowe baba yake alkuwa mpigania Uhuru alilipa Hadi nauli ya Nyerere aende umoja wa mataifa kudai Uhuru lakini kazaa watoto maruhuni wasioelewa history za wazazi wao akiwemo Mbowe!!

Mwinyi tu ndio kazaa watoto wanaojielewa
 
Mkuu Mwinyi anataka kulipa fadhila kwa mwanae kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa zanzibar alichotaka kukifanya ni sawa na kile kile cha rais wa malawi kutaka kumteua yule jaji aliyemsaidia kushinda kesi.
 
Wazee wengine wanazeeka vibaya sana
 
Hivi wazee wetu wenye miaka 90+ kule vijijini kwetu wakiongea hivi uwa wanaongea jambo gani la maana?

Hapa wa kumshangaa ni Magufuli anayempaga mic huyu mzee ili atuchekeshe wajukuu na vitukuu vyake,sasa vichekesho vyake ni kwenye mambo serious ya nchi.

Ukiyashangaa ya Mwinyi utayaona ya Mugabe(R.I.P) wa Zimbabwe. Huyu mzee awe ankuja kwenye vikao lakini hasiongee wanamchosha tu mzee watu,hana muda wa kuumiza akili.
 
Hatuna Baba wa Taifa kwa sasa Mkuu. Mwalimu angekuwa hai angemchana huyo dikteta hadharani bila woga na hao wanafiki wa ccm wangekuwa upande wa Mwalimu.

Hata Mwalimu angekuwa hai angekuwa akili imejichokea tu. Angekuwa anatuchekesha tu wajukuu na vitukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…