Masterkratos
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 584
- 576
Haha, Inatakiwa uwe na wazo la content kwanza halafu hilo wazo ndio lisababishe uanzishe YouTube channel na sio vice versa.Nataka nifungue channel ya YouTube ila sijui niweke content gani? Mnisaidie wandug
siamini hii imetajwa humu!!!cinemaSins
tafuta channel ya Geography Now.-kwa gadget ni huyu MKBHD nyoko Sana huyu
-Pia nikiwa bored naenda kwa prince nipate motivation.
-kwasababu napenda geopolitics nawakubali Sana vox & vice news hasa uchambuzi wao juu ya mashariki ya kati.
Dave naonaga hajachangamka sana, afu yeye kajikita sana kwenye ma laptop na ma gaming consoles, mobile devices sio angle yake japo uwa ana review nzuri based on experience zake na izo devicekwa watu wa review za technology... nimeshangaa sijaona aliyemtaja
Dave Lee (Dave2D)..
nmeona tu akina Marques.
sure kijana.Dave naonaga hajachangamka sana, afu yeye kajikita sana kwenye ma laptop na ma gaming consoles, mobile devices sio angle yake japo uwa ana review nzuri based on experience zake na izo device
Hata yeye anapewa review units ila namkubali sana zach jerryrig kwenye durability test zake na jinsi ana narate unafurahi kuangaliasure kijana.
Dave anaendaga straight to the point. Uzuri wake ni kuwa hana mbwembwe na anatoa a very honest unbiased review. kitu kikiwa kibaya anasema ni kibaya unlike reviewers wengi ambao watarembaremba hilo kosa ili waendelee kupewa review units za bure.
hahaha. true true.Hata yeye anapewa review units ila namkubali sana zach jerryrig kwenye durability test zake na jinsi ana narate unafurahi kuangalia
Mkbhd anasifia tu ma high end devices, haongelei mid range, siku izi naona anazingua
Lew nae kama ha review yale bidhaa wanaomsponsor anakuwaga na review nzuri, uwa napenda anavowa dis apple mpaka wamemchinjia baharini siku izi.
Lewis na Marques nan anapiga hela zaidi??Naona wengi wanamuadmire MKbhd lakin Lewis ana subs nyingi zaidi na channel mbilihahaha. true true.
ishu ya Marques ni kwamba amekuwa a very big hit kufikia hatua ambayo akipewa review unit anai-review as if anai-advertise.
ukiongeza na vihela vya YT na Sponsors, ndo unaona kama saivi anahamia kwa Teslas, TVs, interviews kali etc
ila bado amepambana sana yule chalii kufika hapo alipo.
Lewis ni ahaha,...jamaa anavita vikali sana na Apple.
Lew anaingiza hela nyingi, plus amekuwa kwenye game way baaack, plus he is popuuuuular.Lewis na Marques nan anapiga hela zaidi??Naona wengi wanamuadmire MKbhd lakin Lewis ana subs nyingi zaidi na channel mbili
aliishamhoji zurkberg wa facebook na billgate[emoji23][emoji23].Marquues niliona is worth million dollars kadhaa
Duh dogo anakula pesa matangazo n.k. Niliona MrWhoseTheBoss aliitwa Finland makao makuu ya NOKIA wakaanza kumwonyesha teknolojia zao mpya za drone na mambo mengine.aliishamhoji zurkberg wa facebook na billgate[emoji23][emoji23].
hapa ndio utajua mbele ni mbele tu. youtuber wa bongo kazi kupost uzushi wa zuchu tu.
kabisa kwa mfano kuna channels hizi,Duh dogo anakula pesa matangazo n.k. Niliona MrWhoseTheBoss aliitwa Finland makao makuu ya NOKIA wakaanza kumwonyesha teknolojia zao mpya za drone na mambo mengine.
Halafu kumbe simu uwa zinawaomba wareview matoleo yao na kampuni nyingine zinawatumia kabisa hadi simu zikishazinduliwa.
Hatari sana, Mrwhosetheboss, last week natazama clip akireview simu flani brand siyo famous then baadae akashare emails anazotumiwa na manufacurers wakiwa wanataka areview simu zao kwa malipo.kabisa kwa mfano kuna channels hizi,
supercarblondie
na demu mmoja anaitwa ijustine
ukichunguza utagundua kabisa hawa wanaletewa kabisa bidhaa wazitangaze,maana wanakwenda mbali zaidi na reviews za wahusika.atakuelekeza mpaka ambavyo kampuni husika hawakukuelekeza.
ukizingua hawa jamaa wakakutaja,umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23].
kabisa maana ukilipwa umefungwa.Hatari sana, Mrwhosetheboss, last week natazama clip akireview simu flani brand siyo famous then baadae akashare emails anazotumiwa na manufacurers wakiwa wanataka areview simu zao kwa malipo.
Akasema mara nyingi uwa anakataa kufanya kwa malipo uwa anawambia wamtumie atatumia akipenda atareview maana wakimlipa itabidi aseme wanachotaka hata kama ni uongo. Akasema kwake ni hasara kwasababu anakosa pesa ila in the long run ni faida maana wafuasi wake tunamuamini kwa ile anachosema.