Ipi ni channel yako pendwa ya YouTube na ni kwanini?

Nataka nifungue channel ya YouTube ila sijui niweke content gani? Mnisaidie wandug
Haha, Inatakiwa uwe na wazo la content kwanza halafu hilo wazo ndio lisababishe uanzishe YouTube channel na sio vice versa.
 
1. Steve Harvey show(funny and motivation)
2.Wasafi tv ( entertainment news)
3. Thatsgoodmoney (gym motivation)
 
Baada ya uchaguzi kuisha nitapitia chanel 1 baada ya nyingine naweza kupata vitu muhimu.
 
1.Mkbhd - Unbox na reviews za simu etc
2.Richstar - Adobe tutorials kwa kiswahili
3.Roman row - home workouts
4.Mrwhosetheboss - reviews za simu nk
5.Techgumbo - tech reviews na tutorials za pc
6.Millardayo - news updates
 
4.PNG
Capture.PNG
 
-kwa gadget ni huyu MKBHD nyoko Sana huyu
-Pia nikiwa bored naenda kwa prince nipate motivation.
-kwasababu napenda geopolitics nawakubali Sana vox & vice news hasa uchambuzi wao juu ya mashariki ya kati.
tafuta channel ya Geography Now.
 
kwa watu wa review za technology... nimeshangaa sijaona aliyemtaja

Dave Lee (Dave2D)..
nmeona tu akina Marques.
 
Dave naonaga hajachangamka sana, afu yeye kajikita sana kwenye ma laptop na ma gaming consoles, mobile devices sio angle yake japo uwa ana review nzuri based on experience zake na izo device
 
sure kijana.
Dave anaendaga straight to the point. Uzuri wake ni kuwa hana mbwembwe na anatoa a very honest unbiased review. kitu kikiwa kibaya anasema ni kibaya unlike reviewers wengi ambao watarembaremba hilo kosa ili waendelee kupewa review units za bure.
 
Hata yeye anapewa review units ila namkubali sana zach jerryrig kwenye durability test zake na jinsi ana narate unafurahi kuangalia

Mkbhd anasifia tu ma high end devices, haongelei mid range, siku izi naona anazingua

Lew nae kama ha review yale bidhaa wanaomsponsor anakuwaga na review nzuri, uwa napenda anavowa dis apple mpaka wamemchinjia baharini siku izi.
 
hahaha. true true.
ishu ya Marques ni kwamba amekuwa a very big hit kufikia hatua ambayo akipewa review unit anai-review as if anai-advertise.
ukiongeza na vihela vya YT na Sponsors, ndo unaona kama saivi anahamia kwa Teslas, TVs, interviews kali etc
ila bado amepambana sana yule chalii kufika hapo alipo.

Lewis ni ahaha,...jamaa anavita vikali sana na Apple.
 
Lewis na Marques nan anapiga hela zaidi??Naona wengi wanamuadmire MKbhd lakin Lewis ana subs nyingi zaidi na channel mbili
 
Lew anaingiza hela nyingi, plus amekuwa kwenye game way baaack, plus he is popuuuuular.
 
Marquues niliona is worth million dollars kadhaa
aliishamhoji zurkberg wa facebook na billgate[emoji23][emoji23].

hapa ndio utajua mbele ni mbele tu. youtuber wa bongo kazi kupost uzushi wa zuchu tu.
 
Duh dogo anakula pesa matangazo n.k. Niliona MrWhoseTheBoss aliitwa Finland makao makuu ya NOKIA wakaanza kumwonyesha teknolojia zao mpya za drone na mambo mengine.
Halafu kumbe simu uwa zinawaomba wareview matoleo yao na kampuni nyingine zinawatumia kabisa hadi simu zikishazinduliwa.
 
kabisa kwa mfano kuna channels hizi,

supercarblondie
na demu mmoja anaitwa ijustine

ukichunguza utagundua kabisa hawa wanaletewa kabisa bidhaa wazitangaze,maana wanakwenda mbali zaidi na reviews za wahusika.atakuelekeza mpaka ambavyo kampuni husika hawakukuelekeza.

ukizingua hawa jamaa wakakutaja,umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hatari sana, Mrwhosetheboss, last week natazama clip akireview simu flani brand siyo famous then baadae akashare emails anazotumiwa na manufacurers wakiwa wanataka areview simu zao kwa malipo.
Akasema mara nyingi uwa anakataa kufanya kwa malipo uwa anawambia wamtumie atatumia akipenda atareview maana wakimlipa itabidi aseme wanachotaka hata kama ni uongo. Akasema kwake ni hasara kwasababu anakosa pesa ila in the long run ni faida maana wafuasi wake tunamuamini kwa ile anachosema.
 
kabisa maana ukilipwa umefungwa.

na hawa jamaa ukitaka kuelewa wanachosema,huwa hawacheki na kima.ukizingua unaambiwa ķabisa kwamba hapa umepuyanga.ndio maana kampuni zenye majina zinawaheshimu,maana wao ndio wanaendesha mlinganisho mkono kwa mkono sio kampuni husika.
 
Back
Top Bottom