Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Serikali izuie watoto wa kike wanaokuja Dar es salaam au miji Mikubwa bila kazi maharumu. Kwa Dar wengi wanawake wa mikoani ndio wanauza Kum#. Halafu wanawadanganya mama zao eti wanafanya kazi hotelini pumbavu zao.
Hili nalo ni tatizo mkuu ila pia wazazi wana wajibu zaidi kuhakikisha watoto wao wanaenda sehemu sahihi na wawe na taarifa za uhakika na wajiridhishe sio kuwaruhusu tu eti kisa wanaenda mjini
 
Mwanamke wa Tanzania ukimwambia achague kujifunza ufundi na kufanya ukahaba atachagua hilo la pili! Why? Kwa sababu ni njia rahisi ya kupata pesa. Na Kwa kuwa wanawake sio viumbe wa kufikiri, kukomesha ukahaba kwenye jamii ni jambo lisilowezekana
Hata soko likiwa bovu unahisi wataendelea kuuza?
 
Watoto wapewe elimu inayo base kwenye kumpa skills mbali mbali zinazoendana na world market ili wapate kazi kwa urahisi. Swala la maadili wasiachiwe wazazi pekee, jamii tulibebe hata kama ni gumu kiasi chake.
 
Mkuu kuna wengine wanaojiuza kwao zipo zipo na hawa tuwaweke kwenye kundi gani
 
Mwanaume gani huyo analalamika wanawake kuwa cheap?!! Hao ndio watakuwa wanapandisha bei za mbususu inabidi tuwa taliban kabisa
 
Kipi kifanyike kudhibiti ukahaba, wanawake wasiuze au wanaume wapunguze kutumia huduma?

Nini maoni yako
Duu umenigonga kwenye msumari kunakitu nakiandikia kuhusu jamii kukaa kimya yaani kushindwa kuhoji, kwenye hili sidhani kwamba watu wanatakiwa kuwezeshwa badala yake jamii inatakiwa iwe na maadili na kuwe na mfumo wa kuwawajibisha watu wanao ahirisha kufikiri Kwa nafsi a k a kujizima data (human herding), pia kuna kitu kinaitwa ostracism yaani watu walioko madarakani kumshughulikia mwenye jambo litakalo leta tija Kwa taifa lakini linalogusa masilahi ya watu Fulani ., Kwakifupi hili jambo pamoja na jamii kuto ama kukatazwa kuhoji hili la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji utaambiwa uondoke nenda huko ukapange kunatakiwa tuwe na mijadala ya kitaifa
 
Ukimfunza kijana mmoja wa kiume maadili, unaokoa mabinti kumi.
Lakini ukimfunza binti mmoja maadili basi unaokoa kijana mmoja wa kiume.
1=10
1=1
Binafsi naamini jamii bora iko mikononi mwa wanaume jasiri na bora.
Wanaume ndio watawala wa dunia hii
Kuna wimbo wa Ambwene M, anasema "Mwanaume akikosea, dunia yote huyumba...."
 
Mimi naona niwatu kuepuka kuzaa kiholela,kuzaa bila mipango!watoto mwisho wanakosa mwelekeo nibora usizae kabisa kuliko kuleta kiumbe ambacho hujakiandalia maisha yake yabaadae maana serikal haitakaa imtengenezee mtoto wa mtu maisha bora,sasa unapambana kutotoa kila leo kwamba ndo sifa wakati hao watoto future yao huijui mtoto anatim 20 age fixed account anaiskia kwa watoto wa vigogo na bado mzazi unamtegemea akulishe!! Ninin atafanye kuokoa familia iliyonyuma yake zaid ya ukahaba!!wizi wa mitandao nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…