Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo ni tatizo mkuu ila pia wazazi wana wajibu zaidi kuhakikisha watoto wao wanaenda sehemu sahihi na wawe na taarifa za uhakika na wajiridhishe sio kuwaruhusu tu eti kisa wanaenda mjiniSerikali izuie watoto wa kike wanaokuja Dar es salaam au miji Mikubwa bila kazi maharumu. Kwa Dar wengi wanawake wa mikoani ndio wanauza Kum#. Halafu wanawadanganya mama zao eti wanafanya kazi hotelini pumbavu zao.
Hata soko likiwa bovu unahisi wataendelea kuuza?Mwanamke wa Tanzania ukimwambia achague kujifunza ufundi na kufanya ukahaba atachagua hilo la pili! Why? Kwa sababu ni njia rahisi ya kupata pesa. Na Kwa kuwa wanawake sio viumbe wa kufikiri, kukomesha ukahaba kwenye jamii ni jambo lisilowezekana
Na wakike nao pia wafunzweUkimfunza kijana mmoja wa kiume maadili, unaokoa mabinti kumi.
Lakini ukimfunza binti mmoja maadili basi unaokoa kijana mmoja wa kiume.
1=10
1=1
Binafsi naamini jamii bora iko mikononi mwa wanaume jasiri na bora.
Wanaume ndio watawala wa dunia hii
Mkuu kuna wengine wanaojiuza kwao zipo zipo na hawa tuwaweke kwenye kundi ganiHii kitu huwezi izuia ikiwa serikari ya aina hii ya kinyonyaji isiyo jali maslahi ya Wana nchi.
Chanzo Cha ukahaba ni uhaba wa Ajira na Elimu yenye manufaa kwa vijana na Jamii kwa ujumla.
Imagine mtoto anasoma miaka 12 (shule msingi mpaka secondary) na hapo anatoka secondary na miaka 17-20 akiwa hana Fani yeyote ile aliyo ipata kwenye hiyo miaka.
Na hapo kuna mawili ku'fail au kufaulu na akifaulu kuendelea ajira hamna. Na aki fail ndo ameishia hapo so mtoto anakosa direction Moja kwa Moja, ukichangia na Yale maneno unakuta anaambiwa pia wazazi unakuta hawana Options nyingne zaidi ya kukwambia alime au kuoa/kuolewa, hapo ndo unakuta watoto wengi wanakimbia makwao wanaingia mjini kutafuta kazi, wengi wanaishia Kuwa ma barmaid na wengine Madanga , vijana wa Kiume kujiingiza kwenye makundi mabaya kwa ajili ya kujipatia ridhiki.
Swali, Je! Serikari imejipangaje kuwa push au kiwainua au kuwawezesha wale walio fail masomo yao ya O 'level au S/msingi Ili wapate kujiajiri pamoja na kujiinua kiuchumi? Lakini pia hapo hapo serikari imejipangaje kupambana na wimbi la uhaba wa Ajira kwa vijana ambapo chanzo kikubwa Cha Madanga na bishara ya ukahaba?
Kuwakamata na kuwapiga faini nadhani siyo solution kwa sabab Bado Kuna vizazi vingine vinakuja so kutumia nguvu kubwa kupambana hawa badala yake tutengeneza tiba ya kudumu kwa kuboresha mitaala ya Elimu lakini pia kuwatengezea vijana mazingira wezeshi ya kulikomboa kiuchumi.
Mm Nafikiri Serikari ikitengeneza mazingira wezeshi hizo biashara zitapungua kama siyo kuisha kabsa.
Je hakuna haja ya kuikabili isizidi kukita mizizi? Nini ushauri wako maana tukiiacha itatuhusu itakuja hadi miguuni!Hiyo kazi ipo duniani kabla hata Mwokozi hajazaliwa mkuu
Utandawazi umefanya ionekane ongezeko ila sisi wa kitambo tunaijua muda enzi za SLP
Mwanaume gani huyo analalamika wanawake kuwa cheap?!! Hao ndio watakuwa wanapandisha bei za mbususu inabidi tuwa taliban kabisaKumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha
Duu umenigonga kwenye msumari kunakitu nakiandikia kuhusu jamii kukaa kimya yaani kushindwa kuhoji, kwenye hili sidhani kwamba watu wanatakiwa kuwezeshwa badala yake jamii inatakiwa iwe na maadili na kuwe na mfumo wa kuwawajibisha watu wanao ahirisha kufikiri Kwa nafsi a k a kujizima data (human herding), pia kuna kitu kinaitwa ostracism yaani watu walioko madarakani kumshughulikia mwenye jambo litakalo leta tija Kwa taifa lakini linalogusa masilahi ya watu Fulani ., Kwakifupi hili jambo pamoja na jamii kuto ama kukatazwa kuhoji hili la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji utaambiwa uondoke nenda huko ukapange kunatakiwa tuwe na mijadala ya kitaifaKipi kifanyike kudhibiti ukahaba, wanawake wasiuze au wanaume wapunguze kutumia huduma?
Nini maoni yako
Kweli mkuu yani pale mbagara Rangi tatu maeneo ya darajani kuna vitoto vidogo vya mikoani vinajiuza.Hili nalo ni tatizo mkuu ila pia wazazi wana wajibu zaidi kuhakikisha watoto wao wanaenda sehemu sahihi na wawe na taarifa za uhakika na wajiridhishe sio kuwaruhusu tu eti kisa wanaenda mjini
Kuna wimbo wa Ambwene M, anasema "Mwanaume akikosea, dunia yote huyumba...."Ukimfunza kijana mmoja wa kiume maadili, unaokoa mabinti kumi.
Lakini ukimfunza binti mmoja maadili basi unaokoa kijana mmoja wa kiume.
1=10
1=1
Binafsi naamini jamii bora iko mikononi mwa wanaume jasiri na bora.
Wanaume ndio watawala wa dunia hii