Upande wa wanawake(japo sio wote) wanaona sababu ni wanaume kuendelea kuwanunua hao mabinti ndio maana wanaendelea kuwepo hapo wewe unaona ina mashiko hii hoja!Kweli mkuu yani pale mbagara Rangi tatu maeneo ya darajani kuna vitoto vidogo vya mikoani vinajiuza.
Tunaweza tusirudi nyuma ila tukapunguza kasi, hata hizo nauli watu walilalamika ni vile tu basi serikali yetu sio sikivuHakuna kurudi nyuma, ndio watajiuza na watanunua as days go kuliko zamani.
Kama unavyoona nauli ya daladala once ilikuwa shilingi tano(dala), ikaongezeka hadi leo 600, haturudi nyuma..the world isn't reversing at all.
Mkuu wa aina hiyo huwezi wakuta kwenye madanguro, aidha kama watakuwepo ni Wachache sana. Nadhani hapa tupambane na haya madanguro tukifanikiwa kukomesha tutakua tumeokoa Jamii kwa kiasi fulan.Mkuu kuna wengine wanaojiuza kwao zipo zipo na hawa tuwaweke kwenye kundi gani
Wakishua wanajiuza mtandaoni na madau yao ni yakishua ivo ivoMkuu wa aina hiyo huwezi wakuta kwenye madanguro, aidha kama watakuwepo ni Wachache sana. Nadhani hapa tupambane na haya madanguro tukifanikiwa kukomesha tutakua tumeokoa Jamii kwa kiasi fulan.
Maana haya madanguro ndo kwa kiasi kikubwa Yanaharibu Jamii yetu na mengine unakuta yamefunguliwa mpaka kwenye makazi ya watu, so unaona kabsa kwa kiasi kikubwa yanachangia kuharibu maadili kwa watoto wetu na Jamii kwa ujumla.
Sio kweli saingine wanakosa wateja maana wapo Kama wote. Wengine wanatafuta hela ya nauli warudi makwao. Masikini wengine wasio jitambua wanabeba mpaka mimba isiyo na babaUpande wa wanawake(japo sio wote) wanaona sababu ni wanaume kuendelea kuwanunua hao mabinti ndio maana wanaendelea kuwepo hapo wewe unaona ina mashiko hii hoja!
Irasimishwe na kutengewa maeneo malumu kabisa.Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha
Hata waliozaliwa kwampangilio wapo ambao Hawana maadiliMimi naona niwatu kuepuka kuzaa kiholela,kuzaa bila mipango!watoto mwisho wanakosa mwelekeo nibora usizae kabisa kuliko kuleta kiumbe ambacho hujakiandalia maisha yake yabaadae maana serikal haitakaa imtengenezee mtoto wa mtu maisha bora,sasa unapambana kutotoa kila leo kwamba ndo sifa wakati hao watoto future yao huijui mtoto anatim 20 age fixed account anaiskia kwa watoto wa vigogo na bado mzazi unamtegemea akulishe!! Ninin atafanye kuokoa familia iliyonyuma yake zaid ya ukahaba!!wizi wa mitandao nk
Us ina taifa la ajabu?nadhani uhafudhina u akusumbua,usa walichofanya ni kiwa taifa huru kila mtu yuko free ndio mana inaitwa free state.Familia, style za malezi au malezi kwa ujumla ndio chanzo. msingi wa taifa lolote ni familia. Familia iliyumba kizazi kinakuwa cha ajabu
Reference nzuri ni US
reference US una maana gani?Familia, style za malezi au malezi kwa ujumla ndio chanzo. msingi wa taifa lolote ni familia. Familia iliyumba kizazi kinakuwa cha ajabu
Reference nzuri ni US
Ni ngumu😂Sasa kibaolojia mwanaume miaka 20 hadi 40 anayekula vizuri anahitaji kushusha mzigo, ashushie wapi? Au aoe? Kama hajawa tayari kuwa na familia je?? Biashara hii inaweza kupunguzwa na sio kuimaliza kabisa
Watongoze wawe na mahusiano ya kudumuSasa kibaolojia mwanaume miaka 20 hadi 40 anayekula vizuri anahitaji kushusha mzigo, ashushie wapi? Au aoe? Kama hajawa tayari kuwa na familia je?? Biashara hii inaweza kupunguzwa na sio kuimaliza kabisa
Hii biashara haiwezi kumalizwa, kinachofanyika ni unafiki na kubwabwaja tu. Iwekewe utaratibu rasmi, watoa huduma wasajiliwe na wakae kwenye maeneo maalumu ili wateja wawatembelee huko na kumaliza haja zao. Iwe ni marufuku kwa watoa huduma kujianika ovyo ovyo mitaani na mabarabarani. Watoa huduma wahakikishiwe mazingira rafiki na salama ya kutolea huduma.Lengo la kurasimisha ni nini
Lengo la kurasimisha ni nini mkuu ndio swali languHii biashara haiwezi kumalizwa, kinachofanyika ni unafiki na kubwabwaja tu. Iwekewe utaratibu rasmi, watoa huduma wasajiliwe na wakae kwenye maeneo maalumu ili wateja wawatembelee huko na kumaliza haja zao. Iwe ni marufuku kwa watoa huduma kujianika ovyo ovyo mitaani na mabarabarani. Watoa huduma wahakikishiwe mazingira rafiki na salama ya kutolea huduma.
Kama mpaka hapo hujaona lengo la kurasimisha basi acha nikatafute kande plus parachichi nijaze tumbo kwanza. Kwani title ya uzi inasemaje? wewe una maoni gani kuhusu hiyo title?Lengo la kurasimisha ni nini mkuu ndio swali langu
Huwa tunafanya vitu kwa malengo
Raha ya bange ni kupata mzuka popote huwezi kurasimisha bange halafu utuambie tukavutie chooniKama mpaka hapo hujaona lengo la kurasimisha basi acha nikatafute kande plus parachichi nijaze tumbo kwanza. Kwani title ya uzi inasemaje? wewe una maoni gani kuhusu hiyo title?
Duh mimba huyo kajitakia.Sio kweli saingine wanakosa wateja maana wapo Kama wote. Wengine wanatafuta hela ya nauli warudi makwao. Masikini wengine wasio jitambua wanabeba mpaka mimba isiyo na baba