Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Zote zimefanya vizuri sokoniTupe na mauzo ya hizo series
?Huwa ni season au series ?
π€£π€£π€£π€£Non of the above.. π
series ndo jina, season ni vipande vya hiyo seriesHuwa ni season au series ?
Swadakta ,series, ndani kuna episodes na kisha hizo episodes zinakupa seasonseries ndo jina, season ni vipande vya hiyo series
watz tunachanganya season na seriesSwadakta ,series, ndani kuna episodes na kisha hizo episodes zinakupa season
Sasa utasikia mtu anakuambia umeiona season ya game of throne ,ππππ
Kama heading ya huu Uziwatz tunachanganya season na series
Za juu izo ni movie au?Kama heading ya huu Uzi
Nadhani ushajua tofauti ya season na series na Episode, mengine endelea tu , Its Furahi Day , ni katika kurekebisha tuZa juu izo ni movie au?
Nini maana ya TV show series?Nadhani ushajua tofauti ya season na series na Episode, mengine endelea tu , Its Furahi Day , ni katika kurekebisha tu
Episode ni nini??series ndo jina, season ni vipande vya hiyo series
Hahahahaha,mzee wa season , endelea kujua season ipi kali , mie nimekusaidia tu na wewe nisaidie haya uniulizayo ,πππNini maana ya TV show series?
Episode ni nini??