mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
series imegawanyika kwa seasons, seasons zimegawanyika kwa episodesEpisode ni nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
series imegawanyika kwa seasons, seasons zimegawanyika kwa episodesEpisode ni nini??
👏👏👏 Breaking bad ni kazi ya maana sana
Jibu zuri sana kwa hiyo episode ikichanganywa na season ndo tunaiita msimu mzima yaani seasonseries imegawanyika kwa seasons, seasons zimegawanyika kwa episodes
🤣🤣season ni misimu yote series ni kitu kizima chote hata ukiita season sio dhambi mkubwaHahahahaha,mzee wa season , endelea kujua season ipi kali , mie nimekusaidia tu na wewe nisaidie haya uniulizayo ,😂😂😂
sahihiJibu zuri sana kwa hiyo episode ikichanganywa na season ndo tunaiita msimu mzima yaani season
Sawa sawa, nashukuru umeelewa, nikutakie furahi day ,njema🤣🤣season ni misimu yote series ni kitu kizima chote hata ukiita season sio dhambi mkubwa
Nilishajibu huko juu, tuko sawaJibu zuri sana kwa hiyo episode ikichanganywa na season ndo tunaiita msimu mzima yaani season
Sawa mkuu ipi hapo juu ni favorite kwakoSawa sawa, nashukuru umeelewa, nikutakie furahi day ,njema
Wale wa za kihindi 🤣Nilishajibu huko juu, tuko sawa
Ila naonaga wale wamama wa uswazi,,utasikia natazama season 😂😂 ,
Hakuna hata moja,niwe mkweli ,mie napendaga series za style ya 24, Strike Back, The Event, Scandal ,Homeland na za mlengo huoSawa mkuu ipi hapo juu ni favorite kwako
Na kikorea ,ki turukiWale wa za kihindi 🤣
Kaitafue moja inaitwa the americans na kuna the person of interest niongeza ni the spyHakuna hata moja,niwe mkweli ,mie napendaga series za style ya 24, Strike Back, The Event, Scandal ,Homeland na za mlengo huo
Sawa mkuu hii homework niaanze kesho jmosKaitafue moja inaitwa the americans na kuna the person of interest niongeza ni the spy
Zitafute ni ujasusi mwingi sana kama kwenye homeland tu sio powa kalii sanASawa mkuu hii homework niaanze kesho jmos
Hizo ndio zangu za kijajusiZitafute ni ujasusi mwingi sana kama kwenye homeland tu sio powa kalii sanA
Series, season then episodesSwadakta ,series, ndani kuna episodes na kisha hizo episodes zinakupa season
Sasa utasikia mtu anakuambia umeiona season ya game of throne ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Mmh,sio, Series , episodes zina kamilisha season? OkSeries, season then episodes
🤣Series, season then episodes