Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

Ipi ni series pendwa

  • Breaking bad

    Votes: 14 53.8%
  • Games of thrones

    Votes: 13 50.0%

  • Total voters
    26
GOT.
Wenyewe wanakwambia Breaking Bad nzuri mbele, endelea kuangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nani ana huo mda?
Tatizo wengi wamezoea movies au series zinazohusu drug business kuwa na vurugu za mabunduki, ukatili, mauaji n.k. toka mwanzo. Breaking Bad haianzi hivyo. Episodes za mwanzo za BB zinakupa background ya kwa nini na kwa vipi Walter White alibadilika toka kuwa mwalimu, mume na baba wa familia na kuwa mfanyabiashara wa drugs na mtu katili.

Na ndio main theme ya BB, the transformation of Walter White from a loving husband and father to a vicious drug lord. Usipotaka kuangalia mwanzoni ukataka kukimbilia kwenye vurugu utakosa misingi ya hiyo series. Unless huwa unapenda kuona vurugu tu bila kujali stori inayosimuliwa.
 
Reality ya BB ni hatar sana
Story inakupa mwanzo mwisho kwanini hiki kimetokea
Business man Gustavo Fing he is one of the best strategic man hafanyi kwa papala.

Unakuja kwa jesse yani🔥🔥🔥🔥
 
Reality ya BB ni hatar sana
Story inakupa mwanzo mwisho kwanini hiki kimetokea
Business man Gustavo Fing he is one of the best strategic man hafanyi kwa papala.

Unakuja kwa jesse yani🔥🔥🔥🔥
Jamaa alikuwa na mgahawa wake sio powa sema nilipenda alivo mpa sumu yule don eladio kule mexico🤣🤣
 
Tatizo wengi wamezoea movies au series zinazohusu drug business kuwa na vurugu za mabunduki, ukatili, mauaji n.k. toka mwanzo. Breaking Bad haianzi hivyo. Episodes za mwanzo za BB zinakupa background ya kwa nini na kwa vipi Walter White alibadilika toka kuwa mwalimu, mume na baba wa familia na kuwa mfanyabiashara wa drugs na mtu katili.

Na ndio main theme ya BB, the transformation of Walter White from a loving husband and father to a vicious drug lord. Usipotaka kuangalia mwanzoni ukataka kukimbilia kwenye vurugu utakosa misingi ya hiyo series. Unless huwa unapenda kuona vurugu tu bila kujali stori inayosimuliwa.
Jina linajieleza BB.
Na nani kasema tunataka kuona vurugu? Ni kwamba nimeangalia season ya Kwanza nimeona "mbaya" na nyie mnakubali hilo.........
 
Jina linajieleza BB.
Na nani kasema tunataka kuona vurugu? Ni kwamba nimeangalia season ya Kwanza nimeona "mbaya" na nyie mnakubali hilo.........
Kwenye posti yako umesema umeambiwa kwamba mbele ni nzuri. Nimekujibu kwa context hiyo. Hakuna mtu aliyeangalia BB yote halafu akasema eti mwanzo ni mbaya. Kama uliona mbaya basi haina shida, kila mtu ana mtazamo wake.
 
Hii n kali ya yote ticha anaenda kimbanga mbanga anawatoa ma mafia mchezoni I[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bila kumsahau kilaza wake.
Ntairudia......kila kitu kipo humu ndani.
Jesse Pinkman [emoji23][emoji23]
Hii season kuna scenes hua nacheka sana, unakumbuka season 1 sikumbuki episode ipi Jesse alipanda kwenye jabali kuangalia kama kuna makazi ya watu. Mr White akamuuliza kuna makazi ya watu jirani? Jesse akajibu kuwa yako mbali ila anachokiona ni "cow house"

White: What Did you see?
Jesse: Nothing except cow house
White: What?
Jesse: The cow... Where do they live

White: kwa sauti ya chini... "cow house.. God help
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom