Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Watu wa mtaani wenye uelewa mdogo huwa wanaita season!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa mtaani wenye uelewa mdogo huwa wanaita season!
Kwangu mm na Kwa wkt tulionao breaking bad ni bora sn kwakua matukio yake mpk muda huu yapo active and people are doing itZote zimefanya vizuri sokoni
KabisaKwangu mm na Kwa wkt tulionao breaking bad ni bora sn kwakua matukio yake mpk muda huu yapo active and people are doing it
Ni nzuri sana lakini imwisho wake sikuupenda, haikujulikana destiny ya kina Walter ni ipiKwangu mm na Kwa wkt tulionao breaking bad ni bora sn kwakua matukio yake mpk muda huu yapo active and people are doing it
Walter alikufa. Ulitaka destiny ipi tena?Ni nzuri sana lakini imwisho wake sikuupenda, haikujulikana destiny ya kina Walter ni ipi
Baadae waliconclude kwenye movie inaitwa EL CAMINO,itafuta,hasa Jesse PinkmanNi nzuri sana lakini imwisho wake sikuupenda, haikujulikana destiny ya kina Walter ni ipi
Tafuta movie ya EL CAMINO,the breaking bad,Walter alikufa. Ulitaka destiny ipi tena?
Sasa kaka ilitakiwa uendelee kutizama elcamino ambayo ungeendelea kupata maisha ya jese mbeleni ilikuwajeNi nzuri sana lakini imwisho wake sikuupenda, haikujulikana destiny ya kina Walter ni ipi
Kabisa kalii sanaBreaking Bad kingine nilichopenda ni jinsi walivoiconnect na Better call Saul,spinning
Naunga mkono hoja 👍👏Breaking bad ndo series kali zaidi kuwahi kuishuhudia.
Moja ya kazi nzuri sana za sanaa.
Huitaji CGI kutengeneza TV show nzuri. Ni akili tu na kutumia mazingira halisi kutoa kazi bora kama Breaking bad.
daaah kubabeq hizi ni kejeli 🙂Watu wa mtaani wenye uelewa mdogo huwa wanaita season!
bado naona GOT ina nafasi kubwa sanaView attachment 2776654
Breaking bad inaongoza hapo juu na imeshinda kuwa series bora ya muda wote
🤣🤣daaah kubabeq hizi ni kejeli 🙂
vijana mna balaaa aise
Ila unakumbuka kipindi cha tuzo GOT ilikuwa inakimbizwa sana na BREAKING BADbado naona GOT ina nafasi kubwa sana
Ipi kaka🤣🤣vijana mna balaaa aise