Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

Ipi ni series pendwa

  • Breaking bad

    Votes: 14 53.8%
  • Games of thrones

    Votes: 13 50.0%

  • Total voters
    26
Breaking bad ndo series kali zaidi kuwahi kuishuhudia.
Moja ya kazi nzuri sana za sanaa.
Huitaji CGI kutengeneza TV show nzuri. Ni akili tu na kutumia mazingira halisi kutoa kazi bora kama Breaking bad.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Screenshot_20231009-110450.jpg

Breaking bad inaongoza hapo juu na imeshinda kuwa series bora ya muda wote
 
Back
Top Bottom