THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #21
Asantee Mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]Mnunulie nguo nzuri(gauni),viatu,mkoba na saa,nadhani haizidi laki.
Ukiwa na nguvu zaidi mtoe out ya nguvu,mpeleke mahali pa zuri mkiwa wenyewe kwaajili ya dinner,pata nafasi ya kumueleza alivyo wamuhimu kwako,hakikisha unakuwa romantic.
Na ndio wakati wa kumpa zawadi zake.
Muhimu sanaa,mpende kwa dhati,soon utakuja kutupa mwaliko wa......
All the best
Aiseeee Ushauri Murua sana[emoji120]Kwanza kitendo kuacha kuwaza mambo yako ya msingi na kuwaza kumnunulia zawadi huyo mpenzi wako tayar ni zawadi.
Mpende Kwa dhati(ndani ya huo upendo kuna mizinga humu,kugombana,kusameheana,kuchepuka na mengineyo mengi ya kibinadamu kutoana out)
Mkorofi...ha haaNlkua nasubir post yako tu nilale…
Saaa ya Laki5[emoji1787][emoji1787]Km simu yake imechokachoka mnunulie hata simu tu au saa zile nzuri nzuri za kwenye maduka ya push.
Hunitakii Mema[emoji23][emoji23]Mnunulie msahafu au biblia then leta mrejesho
Hujachelewa bado wapo wengine wengii ila hatutokei Mikoa ya ukanda wa pwani[emoji23]wanaume kama nyie mpo mkoa gani jamani....hata masalia yenu tu basi
Pochi, saa, perfume, viatu, Lotion nzuri, simu
Mapenzi yana nafasi yake kubwa sana acha ujingaAcha kuwaza ujinga dogo. Hiyo pesa bora ukanywea balimi sio kumpa huyo hiyo zawadi.
Kama huna kampani we njoo mi nina clue ya kutosha kuiteketeza hiyo pesa ya zawadi.
Nikitaka Mtoto kampani yangu watanizalia?Acha kuwaza ujinga dogo. Hiyo pesa bora ukanywea balimi sio kumpa huyo hiyo zawadi.
Kama huna kampani we njoo mi nina clue ya kutosha kuiteketeza hiyo pesa ya zawadi.
oi mnene Nipe area code nije tuanze kutumia ka sehem ka Mali zetu wakat tunamsubili kijana tuje tuiteketeza iyo pesa ya zawaid ambayo kesho itakuja kumpa stress akiachwaAcha kuwaza ujinga dogo. Hiyo pesa bora ukanywea balimi sio kumpa huyo hiyo zawadi.
Kama huna kampani we njoo mi nina clue ya kutosha kuiteketeza hiyo pesa ya zawadi.
Hii sitaki[emoji23][emoji23]Iphone 13 Pro MAX, hata kusahau kwenye maisha yake yote.
Aisee Great Mind[emoji120][emoji120][emoji120]pedi
Hujawahi pendwa au?[emoji23][emoji23]Mapenzi haya!!!
NOTE😛esa Kidogo .Asante Mkuu[emoji23][emoji120]Mnunulie zawadi
Mpe pesa kidogo
Tema madini jinsi gani unavyompenda na hutaki kumpoteza..nk
naomba koneksheni shemeji birthday yangu haipo mbali pia, najitahidi mtoto wa mtu aniwazie kama wewe 😁Hujachelewa bado wapo wengine wengii ila hatutokei Mikoa ya ukanda wa pwani[emoji23]
Hayo fanyeni huko ulaya hiyo candlelight atapigwa na mshumaa usoni hadi ashangae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Candle lite dinner tena yafaa mkue wawili tu jioni iyo. Hii ni zawadi nzuri sana na kitu kigeni kwa wadada wengi wa bongo. Chochote kile utakachotoa hapo baada ya dinner kitabeba uzito mkubwa wa zawadi
Ushauri wa kijana wa darasa la saba.
Hebu mwache atoe zawadiAcha kuwaza ujinga dogo. Hiyo pesa bora ukanywea balimi sio kumpa huyo hiyo zawadi.
Kama huna kampani we njoo mi nina clue ya kutosha kuiteketeza hiyo pesa ya zawadi.
Awwh hii ni nzuri sanaCandle lite dinner tena yafaa mkue wawili tu jioni iyo. Hii ni zawadi nzuri sana na kitu kigeni kwa wadada wengi wa bongo. Chochote kile utakachotoa hapo baada ya dinner kitabeba uzito mkubwa wa zawadi
Ushauri wa kijana wa darasa la saba.
Uko mbona parefu sana umeenda but Zipo zenye bei chini ya hapo na bado n nzuri piah.Saaa ya Laki5[emoji1787][emoji1787]