THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #21
Asantee Mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]Mnunulie nguo nzuri(gauni),viatu,mkoba na saa,nadhani haizidi laki.
Ukiwa na nguvu zaidi mtoe out ya nguvu,mpeleke mahali pa zuri mkiwa wenyewe kwaajili ya dinner,pata nafasi ya kumueleza alivyo wamuhimu kwako,hakikisha unakuwa romantic.
Na ndio wakati wa kumpa zawadi zake.
Muhimu sanaa,mpende kwa dhati,soon utakuja kutupa mwaliko wa......
All the best