Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

Hujui mapenzi kasikilize EP ya Almasi tu😁😁
 
Mkuu nnavomshauri hapa ananiona mi kanyaboya we muache tu. Mi nilishaachaga hayo mambo ya zawadi kitambo sana.

Utampa zawadi mi nikiwaka na balimi zangu nikawa na vibe ntamla kwa maneno tu, si unajua unavokua na hisia ukiwa vibe hakuna neno ataacha liskia na uroda napata buure.
 
Aisee mwache enjoy mapenzi kwa muda huo . Hakuna kitu kizuri kama kumjali mpenzi wako kwa vitu vidogo kabisa ..
Hakuna kitu kama hicho wewe, amjali mkewe sio mpenzi wake. Nshamwambia kama atapewa mbunye basi aandae zawadi ili atoe kulingana na shughuli sio eti kutoa ili kununua upendo, Nyambafu tunanunua tendo sio upendo.
 
Birthdays are overrated...

Wewe kama ni mtu wa kujali basi kila siku ni siku ya kuonesha kujali...

Wanawake huguswa na vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume huwa tunavipuuzia...
I concur!!
 
Cake ni the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…