THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #101
Hujui mapenzi kasikilize EP ya Almasi tu😁😁Hahahaha! Hawa madogo watajifunza lini. Kawaida mwanamke anatumia masaa kujiangalia kwenye kioo kisaikolojia inamaanisha ile image anayoiona ni muhimu kuliko kitu chochote kile na muda wote atafanya maamuzi kufavor ile image anayofurahia kuiona.
Hiyo pesa akutafute mkanywe balimi tu maana lazima atakuja kuijutia akifanya huo upuuzi.