Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

Hahahaha! Hawa madogo watajifunza lini. Kawaida mwanamke anatumia masaa kujiangalia kwenye kioo kisaikolojia inamaanisha ile image anayoiona ni muhimu kuliko kitu chochote kile na muda wote atafanya maamuzi kufavor ile image anayofurahia kuiona.

Hiyo pesa akutafute mkanywe balimi tu maana lazima atakuja kuijutia akifanya huo upuuzi.
Hujui mapenzi kasikilize EP ya Almasi tu😁😁
 
Hahahaha! Hawa madogo watajifunza lini. Kawaida mwanamke anatumia masaa kujiangalia kwenye kioo kisaikolojia inamaanisha ile image anayoiona ni muhimu kuliko kitu chochote kile na muda wote atafanya maamuzi kufavor ile image anayofurahia kuiona.

Hiyo pesa akutafute mkanywe balimi tu maana lazima atakuja kuijutia akifanya huo upuuzi.
Mkuu nnavomshauri hapa ananiona mi kanyaboya we muache tu. Mi nilishaachaga hayo mambo ya zawadi kitambo sana.

Utampa zawadi mi nikiwaka na balimi zangu nikawa na vibe ntamla kwa maneno tu, si unajua unavokua na hisia ukiwa vibe hakuna neno ataacha liskia na uroda napata buure.
 
Aisee mwache enjoy mapenzi kwa muda huo . Hakuna kitu kizuri kama kumjali mpenzi wako kwa vitu vidogo kabisa ..
Hakuna kitu kama hicho wewe, amjali mkewe sio mpenzi wake. Nshamwambia kama atapewa mbunye basi aandae zawadi ili atoe kulingana na shughuli sio eti kutoa ili kununua upendo, Nyambafu tunanunua tendo sio upendo.
 
Birthdays are overrated...

Wewe kama ni mtu wa kujali basi kila siku ni siku ya kuonesha kujali...

Wanawake huguswa na vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume huwa tunavipuuzia...
I concur!!
 
JF Mahusiano👋

Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.

Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?

Nina Jambo langu hapa😂😂

NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
Cake ni the best
 
Back
Top Bottom