Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Hadi leo hujui kwamba jews hawatumii na hawaamini katika biblia wala ukristo ambao hawautaki hata kuusikia?
Huu uongo na hizi propoganda sijui mnazisimbaza kwa faida ipi, Wayahudi hawaamini katika Agano jipya, ni uongo mkubwa kusema hawataki kuusikia Ukristo, Israel kuna makanisa na misikiti tele, Israel ndio taifa lenye mchanganyiko wa dini nyingi zaidi mashariki ya kati kwa uhuru mkubwa.
 
jibu swali, jews wanamuamini yesu kama ni mungu?
Jews wanaamini biblia?
 
Hadi leo hujui kwamba jews hawatumii na hawaamini katika biblia wala ukristo ambao hawautaki hata kuusikia?
Kwani wale waarabu waislam wenyewe wanaupenda ukristo si afadhali ya hata hao jews basi wanao hapo Israel wanaishi nao.

Je kwani Saudi Arabia kuna hata kanisa si bora hata Israel yapo makanisa.
 
Siri ya akili za wayahudi ni Tanakh au kudecode kanuni na siri za maisha zinazofundishwa katika biblia.

Soma kitabu kinaitwa Unlocking Jewish code.
Wayahudi na biblia wapi na wapi,,, halafu mbona mnapenda kuwahusisha wayahudi na ukristo wakati hawataki hata kuusikia huko kwao,, yani shobo hizi mnazo nyie tu wayahudi wa chimba unye.
 
Waislam wakianza kusoma Quran na hadithi vizuri na wakiacha kukaririshwa tafsiri na "Scholars" wao ndio watajua dini yao, kinyume na hapo wataendelea kukariri vitu vya juu juu tu.
 
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Wewe jamaa unatakiwa kupatiwa msaada, homosekshoaliti imekuathiri sana
 
Akili ni maumbile tulioumbiwa nayo na Mungu kama tuonavyo tulivyo na viungo vingine mwilini kila jamii imepewa akili lakini Mungu sehemu nyingine kaamuwa tu kuwazidishia na kwingine wakawa na zakawaida mfano urefu na ufupi kuna jamii wanajikuta wengi wanazaliwa wafupi wengine warefu wala hakuna juhudi yoyote wanayofanya ikawafanya wawe hivyo
 
Mifano uliyotoa yote ni basic sana.
Huja consider genetic factors, na mazingira.
Human intellect inajengwa na vitu vingi mno. Kingine lazima kuna utofauti kwenye aspects za uwezo within species ndo maana kuna talanta na vipaji mbalimbali. So huwezi convince watu eti kulearn na ku unlearn vitu vipya ndo watakuwa ma genius.
 
Je, wewe ni shoga?
 
Ndiyo, yote hayo.
Hongera kwa kukiri hadharani msema kweli mpenzi wa Mungu, tubu haraka kwa kufanya uchafu huo kabla hujaondoka hapa duniani. Kha ajuza lini mbili zipo active umri huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…