mwanadar
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 423
- 294
Du zilongwa mbali zitendwa mbaliunakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du zilongwa mbali zitendwa mbaliunakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Sijabisha wala kubishana na wewe Ila nimekupinga kuna tofauti kubwa kati ya Kupinga na Kubisha..sibishani nawe maana ulichoandika ni matokeo ya fikra ulizo nazo na ipo wazi sana shetani amepofusha fikra za wengi nawe ukiwa mmojawapo ili nuru ya injili isikuzukie.
Duh..umenishtua sanaNiliwahi kuambiwa kuwa wakati Wayahudi wakifanya gunduzi nyingi mbalimbali za Kisayansi na tekinolojia, kuna jamii fulani, kikubwa kabisa walichowahi kugundua ni biashara ya utumwa. Biashara ya kuwauza watu wenye ngozi nyeusi. Baada ya hiyo biashara kufutwa Duniani, sasa hivi wamegundua biashara ya kuuza viungo vya binadamu weusi, kama figo, moyo na ini. Wanawadanganya hao watu weusi kuwa kuna kazi. Hao watu weusi wakifika huko wanakaa na kufanya kazi ndogo ndogo, wanalishwa na kulala bure, huku wakipewa pesa ndogo ndogo ya kutuma nyumbani, wakiambiwa pesa yao ya mshahara watalipwa yote siku wanarudi nyumbani. Wanaishi bila ya kutambua kuwa hapo ni duka la viungo vya binadamu, na wao ndiyo bidhaa yenyewe. Akipatikana tu mteja, mmoja wa hawa watu weusi atapewa kitu cha kumfanya baadaye ajisikie kuumwa. Akisema tu anajisikia kuumwa, wenyeji wake wanajifanya watu wema sana, wanamchukua na kumfikisha hospitali kubwa ya kifahari, anapewa dawa, analala usingizi, wanatoa kiungo wanachokitaka, ndugu wanataarifiwa kuwa kijana wao amefariki akiwa anapokea matibabu. Ndugu wanapewa pesa nzuri kama pole. Kumbe ni asilimia ndogo sana ya aliyoipata kwenye mauzo. Unaambiwa bei ya figo moja ni kati ya dola 250,000 na 350,000. Kwa hiyo ndugu hata wakipewa pole ya dola 5,000 (TZS 12m), watabaki wanasifia wema wa waajiri wa ndugu yao aliyepotezewa uhai bila ya kujua ndugu yao amefanyiwa ushetani!!
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Mwana wa ibilisi upo kazini huna hata haya unataka uendelee kupofusha fikra za watu.Sijabisha wala kubishana na wewe Ila nimekupinga kuna tofauti kubwa kati ya Kupinga na Kubisha..
Kubisha ni endapo Ulichoandika Kinaukweli angalau 40% ila ulichoandika Chote ni Uongo..
Ulokole Unapofusha sana Fikra za Wengi wanaamini Wanajua Ila kumbe Hawajui kitu
Wewe kwanini hukisomi?Siri ya akili za wayahudi ni Tanakh au kudecode kanuni na siri za maisha zinazofundishwa katika biblia.
Soma kitabu kinaitwa Unlocking Jewish code.
Watu wa jamii hiyo walianza miaka maelf iliyopita kuuza na kununua watumwa na asili yao ni Ishmael yule mtoto wa nje wa Ibrahimu aliyefukuzwa yeye na mama yake nyumbani kwa Ibrahimu ambapo ishmael alizaa waishmael na ndo walimnunua Yusuf kama mtumwa na kumuuza kwa Potifa kama mtumwa. Hivyo kuuza watumwa hawakuanza leo hao.Niliwahi kuambiwa kuwa wakati Wayahudi wakifanya gunduzi nyingi mbalimbali za Kisayansi na tekinolojia, kuna jamii fulani, kikubwa kabisa walichowahi kugundua ni biashara ya utumwa. Biashara ya kuwauza watu wenye ngozi nyeusi. Baada ya hiyo biashara kufutwa Duniani, sasa hivi wamegundua biashara ya kuuza viungo vya binadamu weusi, kama figo, moyo na ini. Wanawadanganya hao watu weusi kuwa kuna kazi. Hao watu weusi wakifika huko wanakaa na kufanya kazi ndogo ndogo, wanalishwa na kulala bure, huku wakipewa pesa ndogo ndogo ya kutuma nyumbani, wakiambiwa pesa yao ya mshahara watalipwa yote siku wanarudi nyumbani. Wanaishi bila ya kutambua kuwa hapo ni duka la viungo vya binadamu, na wao ndiyo bidhaa yenyewe. Akipatikana tu mteja, mmoja wa hawa watu weusi atapewa kitu cha kumfanya baadaye ajisikie kuumwa. Akisema tu anajisikia kuumwa, wenyeji wake wanajifanya watu wema sana, wanamchukua na kumfikisha hospitali kubwa ya kifahari, anapewa dawa, analala usingizi, wanatoa kiungo wanachokitaka, ndugu wanataarifiwa kuwa kijana wao amefariki akiwa anapokea matibabu. Ndugu wanapewa pesa nzuri kama pole. Kumbe ni asilimia ndogo sana ya aliyoipata kwenye mauzo. Unaambiwa bei ya figo moja ni kati ya dola 250,000 na 350,000. Kwa hiyo ndugu hata wakipewa pole ya dola 5,000 (TZS 12m), watabaki wanasifia wema wa waajiri wa ndugu yao aliyepotezewa uhai bila ya kujua ndugu yao amefanyiwa ushetani!!
Mkuu ndugu zetu si ndo hawa wanaompelekea Mwamposa na kiboko ya wachawi pesa huku wao wakiendelea kutaabika? Bado ujinga ni tatizo kubwa kusini mwa jangwa la sahara.Nani alisema wana akili kushinda wengine? Mbona mimi sijawahi kusema hivyo wala sijawahi kusikia ndugu yangu yeyote akisema ulichosema?
Unaposema jamii fulani wana akili sana unamaanisha jamii yako akili hawana ama wanazo kiduchu? Naona bado upo utumwani kifikra.
Ujinga nao ni kipaji. Wanapewa tuzo zao huko wanakokutana.unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Kwa hiyo ndugu zako hawa akili zao duni hawa, na wengine wanaenda kwa sheikh abdul razak awatatulie shida baada ya kuwaingilia kimwili🤣 wengine hupungwa majini na sheikh alhaj, Dr. Sulle.Mkuu ndugu zetu si ndo hawa wanaompelekea Mwamposa na kiboko ya wachawi pesa huku wao wakiendelea kutaabika? Bado ujinga ni tatizo kubwa kusini mwa jangwa la sahara.
Uongo mtupu Israel huko kuna Wakristo. Yaani habari ikifikia kwa wayahudi tu watu wengine wako tayari wawasemee uongo ili tu wachafuke!!!Hadi leo hujui kwamba jews hawatumii na hawaamini katika biblia wala ukristo ambao hawautaki hata kuusikia?
Nilitarajia uje na list ya mabingwa wengine kutoka Tanzani, africa, arabuni, china, russia nk nk.unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Unajua kwamba wakristo israel hawafiki hata asilimia tano?Uongo mtupu Israel huko kuna Wakristo. Yaani habari ikifikia kwa wayahudi tu watu wengine wako tayari wawasemee uongo ili tu wachafuke!!!
Uarabuni mbona mbali sana, sehemu kubwa ya Pwani na visiwani hapa Tanzania ushoga umeshamiri sanaa.Ujinga nao ni kipaji. Wanapewa tuzo zao huko wanakokutana.
Wayahudi wamewaadhibu watu wanaotaka kujitutumua sababu ya dini yao kama wewe.
Lakini mashoga, hata uarabuni wapo. Ukibisha ntakuonyesha
Wafuga Midevu na Majini utawajua tu kwa maneno yao!!!Nani aliyesema waisrael Wana akili? Una akili unapigana na mtu mwaka mzima wewe Una Drones yeye ana mawe na humuwezi
Hata wafike 2% si wapo?? Acha kueneza uvumi wewe wakristo wapo wengi tu na wengine wanatumikia Jeshini harafu wewe unaeneza chuki za kijinga!,, usiseme Israel hawamwamini Yesu sema dini ya kiyahudi hawamwamini Yesu. Usitumie Neno Israel kuna watu wanakula kitimoto kama wewe na wanazifuga bila shida kabisa. Lakini wewe hapa unazua maneno ya uongo sana kuhusu Israel. Sijui kwa faida ya nani!!!Unajua kwamba wakristo israel hawafiki hata asilimia tano?
Unajua kwamba israel hawamuamini yesu?
Unajua israel kama wanakula only halal food kama waislamu, na hawali nguruwe kama wewe?
LAbda hupendi kusikia ukweli , maana nilichoandika hapo kuna chuki gani mkuu zaidi ya facts,uvumi au chuki ni kuandika kitu ambacho si cha kweli au kwa nia mbayaHata wafike 2% si wapo?? Acha kueneza uvumi wewe wakristo wapo wengi tu na wengine wanatumikia Jeshini harafu wewe unaeneza chuki za kijinga!,,
Yesu Kristo wa Nazareth ndie Genius Nambari moja dunianiKwenye hiyo list umemsahau Yesu Kristo ambaye pia alikulia kwenye hivyo viunga vya Israel.
Toka ukisome hicho kitabu hujazaa Genious?Siri ya akili za wayahudi ni Tanakh au kudecode kanuni na siri za maisha zinazofundishwa katika biblia.
Soma kitabu kinaitwa Unlocking Jewish code.
Ndugu kuhusu Israel najua mengi sana lakini si uongo wako huu binafsi niesomalski huko uongo huu sijauona huko kuna wapagani kabisa na hawabaguliwi naona kuna watu wanawalipa labda kwa uongo huu!!LAbda hupendi kusikia ukweli , maana nilichoandika hapo kuna chuki gani mkuu zaidi ya facts,uvumi au chuki ni kuandika kitu ambacho si cha kweli au kwa nia mbaya
Wewe upo buza unajiita mkristo, leo unakasirika kusikia hao unaowapenda kama hawamuamini mungu wako na hawakukubali huko kwao ,jitafakari