Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mkuu huna pdf ya hicho kitabu utupiemo humu na sisi tufaidike?Siri ya akili za wayahudi ni Tanakh au kudecode kanuni na siri za maisha zinazofundishwa katika biblia.
Soma kitabu kinaitwa Unlocking Jewish code.
Thibitisha kuwa Neils Bohr alikuwa ni myahudi...Acha uongo ndugu.Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Tanakah (judaism)= Biblia agano la kale kwa wakristo.Hadi leo hujui kwamba jews hawatumii na hawaamini katika biblia wala ukristo ambao hawautaki hata kuusikia?
Hii ni kapelo aisee🧢🧢Siri ya akili za wayahudi ni Tanakh au kudecode kanuni na siri za maisha zinazofundishwa katika biblia.
Soma kitabu kinaitwa Unlocking Jewish code.
Ipo wazi sana kwamba kuwa na akili ni baraka toka kwa Mungu (off course inabidi akili zifanyiwe kazi ili kupata matokeo) hivyo basi sababu ya wao kuwa na akili ni kwa kuwa wamebarikiwa na Mungu.Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein,
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Hicho ndio kipimo cha wenye akili kweli?? au ni mtazamo wako tuNi ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
ThibitishaThibitisha, legeza ulimi
Niels Bohr was part Jewish by heritage. His mother came from a wealthy and influential Jewish family, while his father was Lutheran1. Although Bohr was baptized as a Lutheran, he ultimately became agnostic source: copilotThibitisha kuwa Neils Bohr alikuwa ni myahudi...Acha uongo ndugu.
Kwani tafsiri ya mtu kuwa na akili ni nn hasa?Nitajie watu maarufu wenye akili wa jamii yako
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Akili za kijiwe samliNani aliyesema waisrael Wana akili? Una akili unapigana na mtu mwaka mzima wewe Una Drones yeye ana mawe na humuwezi
Hahaha 🤣🤣Mkuu una DR Mambo Jambo , kama una Muda,
Waletee history facty
Unaharibu uziunakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.