Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Unasema uongo, Juma Lokole niMbona mashoga waislamu wapo wengi sana hapa bongo na zenji na ndio wanaoongoza?!
Je, hio na tafsiri uislamu ni ushoga?
mkristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema uongo, Juma Lokole niMbona mashoga waislamu wapo wengi sana hapa bongo na zenji na ndio wanaoongoza?!
Je, hio na tafsiri uislamu ni ushoga?
Usilete porojo zako hapa,Kwani hukuwahi kusikia binadamu wote ni sawa?
Kuwa na watu wenye mawazo kama yako ni hasara kubwa na hasa wasipokuwa CCM!
Usilete porojo zako hapa,
Wewe na jamii yako mmechangia nini katika maendeleo ya maisha ya binadamu??
Facts don't care about your feelings.
Mauzinde?Unasema uongo, Juma Lokole ni
mkristo
Shida sio Yesu au wakristo kumuamini Yesu. Hata babu zao Yesu alipowafunulia maandiko yanayomuelezea walimpinga.Twende taratibu ,
wakristo wanamuona yesu ni mungu kweli si kweli?
Wayahaudi wanaamini mungu mmoja na yesu sio mungu ,kweli si kweli?
Wayahudi wanaamini kitabu ya torati, na wakristo biblia, kweli si kweli?
Wayahudi wanakula halaal food na nguruwe kwao ni haram ,kweli si kweli?
Sasa jijibu mwenyewe na angalia wakristo na wayahudi walivyokuwa tofauti kama mbingu ma ardhi
Nakubaliana Na wewe Kabisa Hata ukiataka Kuwa Myahudi inakupasa Kukaa Mwaka mmoja au zaidi kupata Imani yao (Kugain Trust) Japo hutapata Full trust ila lazma uingie darasani Usome Upate trust then Uchunguzwe Mwishi ndo uwe myahudi..Haha Kuna msemo unasema ujanja kuwahi,
Wayahudi Wana umoja wa kufundishana elimu za siri (sihri) wao Kwa wao TU,
Na mafanikio Yako sirini
EWaaa sasa kwa maneno yako tunakubaliana kwamba wayahudi ni wapinga kristo?Shida sio Yesu au wakristo kumuamini Yesu. Hata babu zao Yesu alipowafunulia maandiko yanayomuelezea walimpinga.
Ishu ni kqnuni zinazoqafanya wafanikiwe ziko katika kitu cha biblia agano la kale ambacho wakristo pia wanaviamini na kwa wayahudi wanaviamini wanaviita Tanaqah ( Torah, mqnabii na wazee) hasa Mithali na Torati.
Usitoke sana kwenye msingi wa mada. Hoja yangu sio Yesu ni nani ila maandiko ambayo yanamuelezea Yesu ndio hayohay9 yana kanuni wanazotumia wayahudi kufananikiwa. Hasa kupitia vitabu vyao vinavyofafanua hiyo Tanakah
Hao wana advantage ya kuwa wameishi kwenye nchi nyingi sana duniani. So kila waliko wanajitahidi kufanikiwa. Wangekuwa na akili kuzidi binadamu wengine basi wale Wayahudi walioko Israel kwenyewe ndiyo wangekuwa majority ya wanaoshinda hizo tuzo au ndiyo wangeongoza kwa uvumbuzi.Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
So uli practice kidogo kaabala, Mambo yalikuaje😎Nakubaliana Na wewe Kabisa Hata ukiataka Kuwa Myahudi inakupasa Kukaa Mwaka mmoja au zaidi kupata Imani yao (Kugain Trust) Japo hutapata Full trust ila lazma uingie darasani Usome Upate trust then Uchunguzwe Mwishi ndo uwe myahudi..
Naelewa kwa sababu I was Once A Judaism so i know the strugle
Agano la kale lote lile ni dini ya kiyahudi.. Wanamuabudu Yehova. Wakristo na Wayahudi wanaanza kutemana kwenye Mathayo (Agano jipya)... Tatizo msiojua Ukristo mnafikiri Biblia ni kitabu kimojaHadi leo hujui kwamba jews hawatumii na hawaamini katika biblia wala ukristo ambao hawautaki hata kuusikia?
Israel kama taifa mpaka sasa ina washindi 13 wa Tuzo ya Nobel, ndilo taifa dogo lenye washindi wengi zaidi, pia ndilo taifa changa lenye washindi wengi zaidi wa Nobel.Hao wana advantage ya kuwa wameishi kwenye nchi nyingi sana duniani. So kila waliko wanajitahidi kufanikiwa. Wangekuwa na akili kuzidi binadamu wengine basi wale Wayahudi walioko Israel kwenyewe ndiyo wangekuwa majority ya wanaoshinda hizo tuzo au ndiyo wangeongoza kwa uvumbuzi.
Ila angalia wanaopata tuzo au wavumbuzi wa kiyahudi wanatoka nchi tofauti tofauti. Na Israel kwenyewe hakuna pattern ya wao kuwa wavumbuzi sana kuliko labda Wakorea, Wajapan au Wahindi.
Hahaha Wayahudi wako Mbali sana Linapokuja Swala la Esoteric Wisdom/Knowledge..So uli practice kidogo kaabala, Mambo yalikuaje😎
Propaganda za kuwakuza wayahudi zipo nyingi..Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Hili liko wazi. Wanapinga. Ila mada inataka kujua kwa nini wanafanikiwa.EWaaa sasa kwa maneno yako tunakubaliana kwamba wayahudi ni wapinga kristo?
Kwani hiyo Nobel imeanza lini hadi useme ni Israel taifa dogo/changa? Uchanga wake unaupimaje? Wenyewe wanasema wana miaka zaidi ya 3,000Israel kama taifa mpaka sasa ina washindi 13 wa Tuzo ya Nobel, ndilo taifa dogo lenye washindi wengi zaidi, pia ndilo taifa changa lenye washindi wengi zaidi wa Nobel.
KWa hiyo mungu wa wayahudi na wa wakristo ni tofauti au siyo?Agano la kale lote lile ni dini ya kiyahudi.. Wanamuabudu Yehova. Wakristo na Wayahudi wanaanza kutemana kwenye Mathayo (Agano jipya)... Tatizo msiojua Ukristo mnafikiri Biblia ni kitabu kimoja