Hii style utaiona inakera kama ataifunga timu unayoipendaIle style ya Steven Set wa Namungo Fc, anachomekea jersey yake Kisha anaanza kutembea huku akiwapungia mkono mashabiki kwa tabasamu Kama mtu aliyelipa Kodi Jana anapokutana na baba mwenye nyumba asubuhi.
Ile ya kufumba macho kwa nguvu,kuachia mdomo wazi,kukaza makalio na kunyoosha miguu...Hellow Football Fans..!!
Kwenye soka kuna kuna aina mbalimbali ya vionjo vinavyochochea burudani zaidi.. Kuna style nyingi za kushangilia magoli pale mfungaji anapofunga na kushangilia goli lake.
Binafsi navutiwa sana na style ya mchezaji wa Bayern Munchen SERGE GNABRY.. ile style yake kama anakoroga KAHAWA kwenye kikombe naipenda sana.
Wewe je unavutiwa na style gani kwenye soka..?
HAPPY NEW YEAR
Hii style aliwah ifanya kocha wa atletico Madrid walipowafunga juventus nyumban kwa goli nazan 2-0,juve walipokuwa nyumban nao wakafunga 3-0 tena nazan goli zote alifunga ronaldo na alipofunga goli la tatu akashangilia kwa style hyo,alipigwa faini baadaeMichail Antonio
View attachment 1663671
aaah hiyo style hatari.Siku Antonio anashangilia ukumbi mzima ulicheka.Hii style aliwah ifanya kocha wa atletico Madrid walipowafunga juventus nyumban kwa goli nazan 2-0,juve walipokuwa nyumban nao wakafunga 3-0 tena nazan goli zote alifunga ronaldo na alipofunga goli la tatu akashangilia kwa style hyo,alipigwa faini baadae
why always meMario Balotelli
LEGENDEric Cantona amewahi kufunga goli then akageuka kuangalia mashabiki. Hiyo picha. Niliipenda sana hiyo.View attachment 1664035
TeacherJimmy BullardView attachment 1663952
yes ni kweli nina picha moja naye mkuu.
Muasisi wa hiyo staili ya kubembeleza mtoto ni Bebeto
Hapo Drogba anapiga header dakika 87 km sikosei, hii fainal ilikuwa tamu sanaFainal ya UEFA.. Penalty ya Didier