Ipi tofauti ya Ibilisi, Mnyama na nabii wa uongo?

Ipi tofauti ya Ibilisi, Mnyama na nabii wa uongo?

Manabii wa uongo ni hao hao wanaijeria uliokua unawasifia humu jukwaani.
Wahed!
Screenshot_20230426-224910_Quora.jpg
 
Nilitegemea angeuliza, atamtambuaje nabii wa ukweli, maana waliopo wote ni wajanja wajanja tu 😅
Nadhani baada ya kupata majibu atarudi tena na uzi wenye kuuliza "je atamjuaje nabii wa kweli?

Huyu mdada kesha hama huko MMU ujue
 
Msaada jamani kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kutosha naomba nisaidie kujibu hili swali.

Je nitamjuaje nabii wa uongo?

Natanguliza shukrani.
Wote wanaojiita MANABII NA MITUME KWA SASA WOTE NI MATAPELI WATUPU NA SII WAKRISTU. UTUME NA UNABII ULIISHIA KWA KRISTU
 
Kutoka kusifia wanaume wa naijeria mpaka kutaka kujua nabii wa uongo🤔...
 
Wale Walioenda mbinguni alafu wakarudi,, wakaongea na kuwasiliana na Mungu pamoja na wasaidizi wake kwa kiswahili na kisukuma!!!
 
Unasima Biblia? Mbona ni rahisi sana ikiwa unaisoma Biblia. Hata huhitaji mtu akueleze.
Msaada jamani kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kutosha naomba nisaidie kujibu hili swali.

Je nitamjuaje nabii wa uongo?

Natanguliza shukrani.
 
Msaada jamani kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kutosha naomba nisaidie kujibu hili swali.

Je nitamjuaje nabii wa uongo?

Natanguliza shukrani.
Mat 7:15-20, …mtawatambua kwa matendo yao. Angalia matendo ya hao manabii:

Hupenda fedha na mali mno
Hupenda sifa
Hupenda kuheshimiwa sana
Hupenda madaraka
Hawana unyenyekevu
Hawana upendo
Hawajali wengine
 
Msaada jamani kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kutosha naomba nisaidie kujibu hili swali.

Je nitamjuaje nabii wa uongo?

Natanguliza shukrani.
Binti, siku hizi uhanga wako umezidi
 
Tafakari yafuatayo kumtambua
1. JE, anakuombea upate kile ambacho yeye anachangiwa pesa akipate?
2. je, anaponya wachache? je anaweza kwenda pale hospital na wote wakapona?
3. Je amewah ponya mlemavu wa kuzaliwa? Yaan kiwete toka azaliwe, je anaponya?
4. Je, anaweza kufufua?
5.
6.
7.
8. Usidanganyike
 
Msaada jamani kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kutosha naomba nisaidie kujibu hili swali.

Je nitamjuaje nabii wa uongo?

Natanguliza shukrani.
Kama hafundishi mafundisho ya ufalme wa Mungu anafundisha habari za ufalme wa ulimwengu huu huyo ni nabii feki
 
Utamtambua kupitia matunda yake. Je baada ya kuhubiri matunda yake ni yapi? Ni uzima au ni mauti.

Nabii wa kweli huongea neema na uzima kwa wana wa Mungu kwa imani ya Kristo.
Nabii wa uongo huongea habari za hukumu na mauti.

Karibu kwa swali lolote
 
Msaada jamani kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kutosha naomba nisaidie kujibu hili swali.

Je nitamjuaje nabii wa uongo?

Natanguliza shukrani.
Akianza kuuza mafuta na maji na vinginevyo,akianza kuambatanisha maombi na sadaka kwa maandiko ya agano la kale yale ya zamani ku justify utoaji wa sasa!

Akianza kukuambia toa sadaka KWA kuvunja agano tena anasema kabisa roho wa Mungu kasema utoe sh. Kadhaa kwa AJILI ya HILI na lile huyo ni mchungaji,nabii,mtume,shemasi vyovyote vile wa uongo!!!

Hata kama ni huyu mwalimu mashuhuri akisema ambatanisha maombi na sadaka huo ni wizi!


Yesu hakuponya KWA kuambatanisha na sadaka bali walitoa baada ya kuponywa ndio wakaleta shukrani na sio KABLA ya uponyaji kufanyika!!

Paulo anaandika hivi"NIFUATENI MIMI KAMA JINSI NINAVOMFUATA KRISTO!

YESU HAKUWAAMBIA SADAKA KABLA YA KUTATUA MATATIZO YAO WALA HAKUWAAMBIA ETI WAAMBATANISHE SADAKA KATIKA MAOMBI BALI KILA MTU ATOE KWA SHUKRANI KAMA ALIVOBARIKIWA TENA KAMA DESTURI YA WANA WA MUNGU!!!!

HAKUNA KUAMBATANISHA MAOMBI NA SADAKA BALI SHUKRANI KWA JINSI ULIVOGUSWA!!!

KATIKA ULIMWENGU WA AGANO JIPYA NA UKRISTO HAKUNA SADAKA ZA KUAMBATANISHA ILI MUNGU AKUJIBU BALI NI HAPO KALE!

MAHUBIRI YA KUAMBATANISHA SADAKA NI WIZI ULIOHALALISHWA KWA MAANDIKO YA GANO LA KALE ILI KUFUMBA MACHO WAJIBU WA AGANO JIPYA!!!

HIVYO TU YAANI!!!
 
Aliye wa Mungu huzungumza habari za Mungu tu. Aliye muongo huzungumza mambo ya kidunia.

Imeisha hiyo.
no Alie mwongo, huongopa. sio ya kidunia.. Ipo hivi, wa Mungu atakuelekeza kwa Mungu bali wa uongo atakudanganya ili akupeleke kwa shetani
 
Back
Top Bottom