Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unamuombea msamaha halafu unatusimanga ! Sasa hatukubali , halafu msamaha anaomba mkosaji au familia yakeNdg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Shida ni kwamba maono ya Magufuli alikuwa anataka kuyatekeleza kwa watu wapumbavu.Magufuli alikuwa na maono mazuri ila aliyatekeleza kwa njia mbovu na pengine haramu.
Hahahaha @Menulajr anamuombea Sabaya helaNdg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
mbona wewe hukupigwa!!!Maendeleo gani alileta zaidi ya kuua na kupiga risasi watu.
marekani ipi!!Vijana kuwanyima ajira kisa ushamba wa kununua ndege ambapo mpaka marekani walimshangaa kuua watu kisa ndege.
kwamba ndege moja ilinunuliwa kwa 3.9 trn!!!Haku a nchi yoyote duniani tajiri inayoweza kununua ndege cash tena zaidi ya kumi halafu watu wanakufa njaa na budget ya nchi ni 39. 5 trillion yote unahamishia kwenye ndege.
dogo wacha bangi.Mungu ametusaidi sasa hivi ajira nii za kumwaga hasa private sector imerudi kwenye mstari
NONSENSE,TAKATAKALawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Achana na mpendwa wetu, jiombee mwenyewe kuanzia, familia, ukoo mtaa I hadi kwa Mungu.Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
ukweli mchungu kamanda,hata tukisema tumridhishe mletamada,wananchi watatushangaa tunaomba msamaha magufuli kafanyaje??NONSENSE,TAKATAKA
Jf na Twitter sio mtaani? Huku social media ni mitaa ya kidigitali. Dhalimu alifaa kuwa kiongozi wa zama za mawe. Ongopa mshamba akipata madaraka kisha awe na kiburi.Lawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Yule mtu!!! Kwakweli ccm hapo walituweza watanzania....Just imagine kauli hio inatoka kinywaji kwa mtu aitwae Rais[emoji1]
ukweli mchungu kamanda,hata tukisema tumridhishe mletamada,wananchi watatushangaa tunaomba msamaha magufuli kafanyaje??
Bila shaka wewe ulikua cheti feki maana ndio wanaongoza kwa kumchukia magufuli. Cheti feki ni wajinga wanaofikiri wana akili. Sasa tumuombee magufuli kwani kakosea nini? Fisadi na watumbuliwa wana aheri kwa kumchukia magufuli kwani wanajua wao wamefanya nini. Mijitu kama wewe ni waovu sana. Nyie ni watu wabinafsi yaani mtu kafanya mambo mazuri afrika na dunia wameona jinsi nchi imeendelea halafu vilaza wachache wanajidai kuleta upambavu wao. Pumbavu sanaNdg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kweli kabisa, huku kitaa watu wengi bado wanammiss!
We unataka wammiss lisu anayeshikishwa ukuta?Nani anammiss kiongozi muovu na katili? Labda Sabaya na Makonda maana ndio walifaidika na udhalimu wake.
nchi imefika ilipo naye mwendo ameumaliza.Kaendesha nchi kidhalimu na kuleta ubaguzi wa kikanda. Ni Mungu tu aliamua kuleta mabadiliko bila damu kumwagika.
We unataka wammiss lisu anayeshikishwa ukuta?