Uchaguzi 2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

Uchaguzi 2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

Wananchi wa wapi Mars au?Maana watanzania wote tegemeo lao ni Lissu.

baba ile video hujaona mbowe kaenda jimbon watu wote wanashangilia magufuli jamaa kazomewa anabaki kusema tulieni jaman, sasa sjui wananchi gan hao! kwa kifupi hatuwataki thats all
 
baba ile video hujaona mbowe kaenda jimbon watu wote wanashangilia magufuli jamaa kazomewa anabaki kusema tulieni jaman, sasa sjui wananchi gan hao! kwa kifupi hatuwataki thats all
Wale vijakazi wa uvcmm mbona walishtukiwa mapema mpaka picha zao ziliwekwa mitandaoni nakuuliza tena wewe unaishi sayari gani mbona kama mgeni duniani.
 
Chadema bado ni wanaharakati siku mkiwa wanasiasa tutawapa nchi ila kwasasa tunachama kimoja makini nacho ni ccm na Magufuri ndio baba lao
2020 wananchi twende tukawaanyooshe hawa wanaharakati wanaopenda.shali kuliko maendeleo ya wananchi.
unaumwa wewe kampe mwenyewe kura magu alaaa!!
 
Magufuli atavuna jeuri yake ya kupiga mashagazi na kubomoa nyumba za watu kisa hawakumpigia kura. sasa kama alifikiri mtu mzima anatishwa kwa kufokewa mwaka huu watu wazima watamwambia kuwa wanataka kuongozwa na sio kutawaliwa. kama ni kutawaliwa tulisha tawaliwa na wakoloni. sasa tunataka kuongozwa kwa kushirikishwa katika maamuzi yote ya maisha yetu.
 
Sioni namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu
Yes sababu Hana mtaji wa wananchi Bali dola,nchi haichukuliwi na dola Bali nguvu ya umma.Check Lipumba anamiliki chama amekufa nacho Maalimu ana mtaji wa watu ACT imara visiwani na Cuf ni historia.
Ndungulile, January,Nape Wana mtaji wa watu thus watu awakuwaacha wamewapa kura za kishindo.
Ngoja tuone alcohol Kama hio dola anayoitegemea itamsaidia .
 
Magufuli atavuna jeuri yake ya kupiga mashagazi na kubomoa nyumba za watu kisa hawakumpigia kura. sasa kama alifikiri mtu mzima anatishwa kwa kufokewa mwaka huu watu wazima watamwambia kuwa wanataka kuongozwa na sio kutawaliwa. kama ni kutawaliwa tulisha tawaliwa na wakoloni. sasa tunataka kuongozwa kwa kushirikishwa katika maamuzi yote ya maisha yetu.

Kabisa na ampae jeuri Mungu kampenda zaidi sio pa ccm kuibukia ushindi.
Nadharia ya watz ni waoga imewalevya Sana,but njaa aliyotuletea ndio imewafumbua watz wengi.
Wengi walikata tamaa kutopiga kura ujio wa Lisu umewapa Hari ya wengi kumwaga pombe.
Pombe Safari hii hainyweki
 
Umetoa facts tupu kwa asilimia 100

Waache hao CCM wajipe matumaini makubwa, wakati katika hali halisi nafsini mwao wanajua wazi kuwa wataangukia pua!
Lissu hakuwa Ubelgiji kushangaa maghorofa. Inafact ile ilimpa muda mrefu wa kujipanga kwa utulivu kuliko angekuwa hapa akishinda mahakamani.

Lissi ni kama Yohana alivyojificha kule kisiwa cha Patmo Uturuki wakidhani wamemnyosha akina kaiza Nero kumbe Kaenda kuongea na Mungu juu ya ukombozi wa kanisa lake.
 
Back
Top Bottom