Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati walisema wanachopigania ni price lessUmeeleza vema kabisa ahadi mambo niliyokuwa siyajui.
Inaonekana Madiwani wa Lissu wako kama Lissu tu. Hawana bei.
Huu ni ushahidi kuwa akiweka Jina, Litaturu halina kitu! amshukuru ameamua kugombea Urais5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tuliposema mwanaume ameingia wengi hawakuelwea tunasema nini.Tatizo wanaccm wanadhani watanzania ni walewale, ujio wa lissu umefanya ccm wote wamepaniki.Nimeshangazwa mpaka polepole.ukweli in kwamba mgombea pekee anayeogopwa na ccm safari hii ni lissu, tukubali ama tukatae.mpaka msajiri na tume wamepaniki pia.
Le Mutuz hujambo? Unaendeleaje na mazoezi yako? Jitahidi shati lako liache kufunika Vitz.Lisu anamjua nani bhana!
Unashirikisha wezi kujadili wizi?Magufuli atavuna jeuri yake ya kupiga mashagazi na kubomoa nyumba za watu kisa hawakumpigia kura. sasa kama alifikiri mtu mzima anatishwa kwa kufokewa mwaka huu watu wazima watamwambia kuwa wanataka kuongozwa na sio kutawaliwa. kama ni kutawaliwa tulisha tawaliwa na wakoloni. sasa tunataka kuongozwa kwa kushirikishwa katika maamuzi yote ya maisha yetu.
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.
KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.
1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.
2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?
Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.
3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.
Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?
4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".
Je, kuna nini hapo?
5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
CCM hawana uzoefu wowote ndugu zaidi ya wizi wa kura na dhuluma.Ahsante kwa maono yako.
Tusubiri tuone maana CCM si chama cha kubezwa, kina uzoefu mkubwa sana kwenye siasa za Tanzania.
Huko CCM kwenyewe Kuna makundi, wapo loyal wa mfalme na CCM asilia.CCM hawana uzoefu wowote ndugu zaidi ya wizi wa kura na dhuluma.
Wenyewe kwa wenyewe tu wanaibiana.
Ushahidi upo.
Kwani Ni lini mlimchagua mtu ambae sio Mtanzania? Na Ni Nani?Tumchague mtanzania mwenzetu Safari hii
Hakuna uchaguzi rahisi kwa CCM kama mwaka huu! Uchaguzi mgumu ulikuwa 95 ya kina mrema na 2015 ya Edo! TL wala hatishi kwa Magu
Mkuu safari hi wamepoteana,wanamuonea Lissu Kama Ghost,yaani hawaamini Kama you Hai.Huko CCM kwenyewe Kuna makundi, wapo loyal wa mfalme na CCM asilia.
Kwani wewe Ni Mungu,Nabii,Mtume au Mtabiri?labda 2025 ila sio 2020
Nape???Kilikuwa na huo uzoefu walipokuwepo watu ambao ni vichwa kama akina kinana, Nape na Januari lakini hii timu ya sasa hakuna jipya siasa za mazoea zimepitwa na wakati.