Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sijaiona sababu ya kusamehe.Nimepapasa uzi wote,sijaiona hiyo sababu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya Masanja ni kuwaziba mdomo wachambawima washika bango wa mambo ya watu.Kwa hiyo inawezekana Bishop naye ana matatizo tajwa hapo juu? maana alisema hata akimkuta red handed atamsamehe
Una uhakika tunaweza? Mbona unatusemea.Hakuna Draw inapotokea vita baina ya Mwanamke na Mwanaume, aidha mwanaume ashinde au ashindwe.
Draw inatokea Kwa watu au variable zenye Sifa zinazolingana.
Huwezi toa Draw kwenye Giza na Nuru,
Juu na chini,
Kushoto na kulia,
Wema na ubaya
Lazima kimoja kishindwe.
Mwanamke Kwa mwanamke wanaweza toa Draw,
Mwanaume Kwa mwanaume wanaweza kutoa Draw.
Alafu kingine mwanaume hachepuki.
Kumheshimu mwanamke kama Mke mmoja haimaanishi itaondoa nature ya mwanaume kuwa na wanawake wengi.
Hiyo mke mmoja tuu ni kujilazimisha na kumheshimisha tuu Mkeo lakini hata wao wanajua kuwa Mwanaume hawezi kuishi na Mke mmoja.
Ila wao wanaweza
Nenda shule ujifunze zaidi. Huwezi kuelimisha jamii kwa vitu usivyovielewa kiundani na bila tafiti.Wewe ndio unakosa mashiko,
Unaleta Sayansi kwenye mapenzi,
Sayansi haiwezi kuthibitisha Hisia za viumbe/binadamu. Sayansi haiwezi kuthibitisha Imani za watu.
Mapenzi ni hisia, ni Kama Imani, hasira, chuki wivu.
Sasa ukileta Sayansi kwenye mapenzi sidhani Kama tutakuwa tunajadili lolote.
Imani pekee ndio huamua vitu vya mwilini, Rohoni, akilini, hisia n.k,
Una uhakika tunaweza? Mbona unatusemea.
😆 😆 Anaandika Kama mtu anayeweza kuelezea tabia za kila binadamu zilizojificha, kila binadamu ni wa kipekee na huwa anafanya maamuzi kwendana na maono yake mwenyewe.Sijaiona sababu ya kusamehe.Nimepapasa uzi wote,sijaiona hiyo sababu.
Wewe ni Taikoni Ma tako. Muulize baba yako kamsamehe mama yako mara ngapi kabla ya kuandika huu ushuzi wako. Ndoa sio kitu rahisi kama unavyodhani... mwanamke anaweza kugongwa kwa sababu ndogo sana. Siku ya harusi karibu kila mtoa nasaha husema ndoa ni uvumilivu unadhani ni kwa bahati mbaya? Futa huu ushuzi ulioandika
Nenda shule ujifunze zaidi. Huwezi kuelimisha jamii kwa vitu usivyovielewa kiundani na bila tafiti.
Kuna mahala uliambiwa mapenzi hayafanyiwi tafiti? Very insane
Uko vizuri asante Kwa ushuhuda wa kiume haswaa. Niweke angalizo kidogo nguvu za kiume ni relative term Hazina one to one dimension, nawakumbusha wanaume kuridhika na kushiba ni mapokeo nafsi ya mtu na Radha yake, sex ni blind folded game, sio pre participatory with prior satisfying indicators, Please I urge men kujikubali, anaejua kuridhika ni mlaji, mpokeaje, na ndimi hazifanani, unless customers tell their needs that when you can be sure of satisfying them, the production is preditermined by the customers' needs. The why aspects of life inaonekana ni tatizo Kwa watu wengi. Most men we date women that don't naturally love or attracted to us, hisia na utayari wa mwili Kwa ushiriki na mshirika ni hoja sana. Women wako wazi wanakwambia nikiwa kimapenzi hata hug na busu na mpapaso nakojoa, bila hisia na sikupendi hata uwe na boro refu na utumie madakika haina, sex for money, mood, love, need for sex, preferences during sex, stress.IPO SABABU MOJA TUU ITAKAYOMFANYA MWANAUME AMSAMEHE MKEWE AKIMFUMANIA RED-HANDED!
Anaandika, Robert Heriel
Vijana muache Ubishi na ujuaji, oooh! Mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njema nyingine,
Hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha.
Mwanamke Msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno sembuse Sisi binadamu wenye mioyo ya nyama.
Hakuna mwanaume wa hivyo kwenye hii Dunia atakayeweza Msamahe Mwanamke mchepukaji endapo akimshika.
Lakini IPO sababu kubwa muhimu Sana ambayo Sisi wanaume Kwa kweli tutakubali yaishe na kujifanya tumesamehe lakini Kwa ndani inatula polepole.
Sababu hiyo ni KUKOSA NGUVU ZA KIUME.
Kukosa nguzu za kiume kupo Kwa Aina zifuatazo;
1. Kukojoa chini ya dakika mbili.
Ukiwa ni mtu wa kuwahi kumwaga yaani ndani ya dakika moja umeachia, nakuhakikishia umekwisha, kivyovyote hauwezi kumridhisha Mkeo.
Likakuwa ni tatizo sugu sasa utakuwa kazi yako ni kujipendekeza Kwa Mkeo ili aidha asikuache au asikutolee Siri zako, na hiyo ni Siri kuu.
Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi wanaopelekwa pelekwa na wake zao wengi wao wanatatizo Hilo. Hivyo hutumia namna ya kutetea haki za wanawake Kama mwamvuli wa kuficha madhaifu Yao.
Mwanaume kama unapiga kimoja chali tena cha dakika moja hata amfumanie mkewe Red-handed hana chakumfanya, zaidi ya kumsamehe,
Atamuachaje sasa ili aumbuliwe maana mke atatoa hoja zake,
Na pia hawezi kuoa mwanamke mwingine ili aibu yake isisambae.
Hivyo atatafuta visingizio vya samehe Saba mara sabini lakini kijeshi yapo makosa hata ufanyeje huwezi kusamehewa.
Kwenye mapenzi, Kosa kubwa ambalo mwanamke atafanya ambalo hastahili Msamaha ni Ku-cheat.
Na hata huyo atakayemsamehe kutokana na udhaifu wake Msamaha wake hautahesabika lolote kwani mwanamke yeye ndiye mwenye Siri ya kambi kuwa kama asingekuwa hivi wala asingenisamehe
Haliwezekaniki mwanaume anayejiweza kumsamehe mwanamke msaliti. Hiyo haipo na haitokuja kuwapo.
2. Kutokusimamisha.
Mwanaume anaweza akawa anasimamisha tangu akiwa mtoto mpaka anaoa lakini zipo dharura zinazoweza kutokea katika maisha ambazo zinaweza kupelekea mwanaume apoteze uwezo wa kusimamisha, kuna Ajali, magonjwa n.k.
Ukikutwa na dhahama Kama hii Kwa kweli hata umfumanie Mkeo Red-handed huna ambacho utafanya zaidi Sana utamtetea au kumwambie afanye Kwa stara ili kutunza heshima za Familia.
Ukweli wa wazi usiosemwa uliopo wa Kwa nini wanawake WA siku hizi wengi wanasauti ndani ya Nyumba ni kutokana na wanaume wengi hatuwafurahishi wanawake zetu katika sita Kwa sita.
Wewe ukiona mwanamke anamdomo Sana, au anajifanya ni Mbabe au anakisirani, au Gubu, au kujifanya yupo Sawa na Mwanaume, wewe usihangaike naye kaangalie Mwanaume anayemkaza/anayetoka naye.
Nakuhakikishia utagundua kuwa huyo mwanaume Hana nguvu za kiume. Hafiki katika vilele vya huyo mwanamke ndio maana mwanamke anakuwa juu yake.
Na ukiona mwanaume anapenda Sana kutetea na kuwapa Mamlaka wanawake wawe nafasi Sawa na Wanaume, usihangaike naye wewe mtazame Mkewe, alafu utakuja kuniambia.
Wanaume wa namna hiyo wengi wao hawana nguvu za kutosha kutuliza nyege za Wake zao.
Na Mwanaume akishakosa sifa hiyo ndio hukimbilia kwenye mifumo hiyo ya kutetea haki Sawa..
Chunguza au hata Kama ni wewe kama unatabia hizo lazima kitandani uwe sifuri, kama haupo hivyo nipo tayari unitukane Kwa jina lolote lile.
Wazee wangu waliwahi kuniambia, ukitaka kujua nguvu ya mwanaume basi mtazame mkewe, na ukitaka kujua nguvu ya mwanamke basi mtazame mumewe.
Mwanaume kamili mwenye nguvu zake za kutosha, sio pesa wala Mali, Bali nguvu za mwili kamwe hawezi kumsamehe Mwanamke Msaliti. Hiyo haiwezekaniki.
Wapo wamama wanaotoka Kwa Siri na kuwasaliti waume zao Kwa sababu waume zao wanaumwa labda ni visukari au Presha au magonjwa yoyote yanayoathiri mfumo wa Damu na Ubongo yanayoathiri nguvu za kiume.
Lakini hata Waume zao wakijua uwezo wa kuwaacha ni ngumu Kwa sababu nilizoeleza hapo juu.
Andiko hili, ni Kwa mujibu wa Mafunzo niliyopewa na Babu zangu, Ma-Legendary.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mimi "nimeupenda" uandishi wako.Kwa sababu:-Uko vizuri asante Kwa ushuhuda wa kiume haswaa. Niweke angalizo kidogo nguvu za kiume ni relative term Hazina one to one dimension, nawakumbusha wanaume kuridhika na kushiba na nafsi ya mtu na Radha yake, sex ni blind folded game, sio pre participatory with prior satisfying indicators, Please I urge men kujikubali, anaejua kuridhika ni mlaji, mpokeaje, na ndimi hazifanani, unless customers tell their needs that when you can be sure of satisfying them, the production is preditermined by the customers' needs. The why aspects of life inaonekana ni tatizo Kwa watu wengi. Most men we date women that don't naturally love or attracted to us, hisia na utayari wa mwili Kwa ushiriki na mshirika ni hoja sana. Women wako wazi wanakwambia nikiwa kimapenzi hata hug na busu na mpapaso nakojoa, bila hisia na sikupendi hata uwe na boro refu na utumie madakika haina, sex for money, mood, love, need for sex, preferences during sex, stress.
If we agree commonly that women are naturally objects for men sexual satisfaction hio pia ni agenda yake.
Wanawake wanawajibu wa kujiandaa kushiba na kuridhika wao kama wao kimwili kiakili na kiroho ndipo mwanaume ajazie.
Women are skillful and intelligent kusema uongo ili ajitetee, ajisafishe, amdhalilishe mwanaume ni kawaida sana, they know what to say inorder to win the public defence or public sympathy.
Tendo la ndoa sio kila kitu katika maisha, siwezi kuogopa aibu kisa pressure, kisukali, sijui ugonjwa gani, Bora uishi mwenyewe kuliko kudhalilika.
Life is an enroute to hell or heaven, thus there is always a destiny for every step.
Hapana Robert,Mpaka nimeandika hapa ujue nimeshafanya huo utafiti/uchunguzi.
Ndio nikasema nawe kafanye uchunguzi/utafiti au jifanyie utafiti wewe mwenyewe alafu ukiona majibu yanakuja tofauti na nilivyosema nimekuruhusu nitukane utakavyoweza wala sitokushtaki na wala hutokuwa na hatia nami.
Mihemko yako haitaondoa ukweli wowote
Kauli ya Masanja ni kuwaziba mdomo wachambawima washika bango wa mambo ya watu.
Masanja anaweza kuja kumuacha Mke wake baadaye kwa kosa linguine wala siyo la uzinzi.
Masanja kumuacha Mke wake Sasa hivi ilikuwa ni kuwapa ushindi wa goli 3 na point 3 wanafki na vizabina waliojaa roho mbaya kazi kufuatilia maisha ya watu.
🤣🤣🤣...mwanaume hachepuki.
Kumheshimu mwanamke kama Mke mmoja haimaanishi itaondoa nature ya mwanaume kuwa na wanawake wengi.
Hiyo mke mmoja tuu ni kujilazimisha na kumheshimisha tuu Mkeo lakini hata wao wanajua kuwa Mwanaume hawezi kuishi na Mke mmoja.
Ila wao wanaweza
Huyo Taikon mshamba mmoja tuMimi "nimeupenda" uandishi wako.Kwa sababu:-
-haujui lugha ipi utumie(iwe moja nyoofu),
-mbwembwe nyingi hadi unatoka relini,
-hoja za taikon zimekusisimua hadi ukadhani unapiga naye soga uso kwa macho,
-ukasahau kuja na "dikshonare"!
-😂😂😂😂😂
Ni maoni yako nayapokea itahitajika miaka mingi kuelewa kwa nini nimeongeza mawanda katika ujumbe wa Robert. Self-imposed slavery and syndromic closure of mind, stereotype ni adui wa uelewa.Mimi "nimeupenda" uandishi wako.Kwa sababu:-
-haujui lugha ipi utumie(iwe moja nyoofu),
-mbwembwe nyingi hadi unatoka relini,
-hoja za taikon zimekusisimua hadi ukadhani unapiga naye soga uso kwa macho,
-ukasahau kuja na "dikshonare"!
-😂😂😂😂😂
Hapana Robert,
Hapana mahala nimekutukana personally na siwezi asilani. Nilichofanya ni kushambulia hoja yako ambayo naiona ina mapungufu makubwa.
Kuwa mwandishi bora ni pamoja na ku-integrate mambo mbalimbali kwenye thinking. Hata Mwenyezi Mungu alitambua kwamba wanadamu wote hawawezi kuwa wake kwa sababu ya free will ya binadamu.
Kukubali makosa ya kiuandishi na kuweka utayari wa improvement humfanya mwandishi kuwa very exceptional.
Jf ni forum ambayo ni very diverse, kwa kujumuisha watu wenye skills mbalimbali. The point here ni jinsi ya kuufanya uandishi kuwa credible, sound, and reliable.
Kuna siku unaandika madini then nyingine mautumboWewe unaakili Sana.
Amejibu vizuri, hata hivyo waliotarajia Masanja atamuacha mkewe sasa hivi walikuwa hawajafikiri vizuri.
Kingine huwezi muacha Mkeo Kwa maneno ya kuambiwa au Kwa meseji za kwenye simu ambazo hazionyeshe moja Kwa moja Pasi na Shaka kuwa Mkeo anacheat.