Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ulichoandika ni ukweli, umesema sababu sahihi kabisa, kama husimamishi sasa una hiyari kumwacha mkeo au ukae nae ila lazima achepuke. Hivyo utakaa nae kama msaidizi tuu na siyo sexmate. Si unaona mfano wa yule viti maalum na "vp"? Jamaa Kazaa nae 2 na bado yuko kwa mumewe sababu mume hasimamushi.Mpaka nimeandika hapa ujue nimeshafanya huo utafiti/uchunguzi.
Ndio nikasema nawe kafanye uchunguzi/utafiti au jifanyie utafiti wewe mwenyewe alafu ukiona majibu yanakuja tofauti na nilivyosema nimekuruhusu nitukane utakavyoweza wala sitokushtaki na wala hutokuwa na hatia nami.
Mihemko yako haitaondoa ukweli wowote
Kuna sababu nyingine za kusamehe ila uliyosema ndo main reason.