Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mdau anachukia inaponitokea kufanya kiswanglishi kiuandishi hajataka kujikita kuelewa mantiki yangu ya kuukataa huu utumwa na sumu inayosumbua wanaume kuwa watumwa wa kuitwa hawana nguvu za kiume, wakati nguvu za kiume hazijawahi kuwa uniform Kwa kila mtu.Huyo Taikon mshamba mmoja tu
Nguvu za kiume ndo mwanamke acheat? seriously? cheating kwa mwalnamke Haina justification,ameolewa atulie Ana nguvu au Hana ndo wa kwakoo zipo njia nyingi za kuridhishana...
Ni ujinga kutetea cheating
Huyu mdau anachukia inaponitokea kufanya kiswanglishi kiuandishi hajataka kujikita kuelewa mantiki yangu ya kuukataa huu utumwa na sumu inayosumbua wanaume kuwa watumwa wa kuitwa hawana nguvu za kiume, wakati nguvu za kiume hazijawahi kuwa uniform Kwa kila mtu.
Robert usisahau kusoma observations zangu kisha utie neno, tafakari kisha weka neno.John nakuomba fanya uchunguzi alafu ukirudi hapa naomba uje unikosoe hata ukiweza unitukane Kwa kuandika Utumbo au Pumba.
Sina sababu ya kufanya hivyo.
Mimi nimekaa na watu wazima WA namna mbalimbali, nimefanya uchunguzi hivyo nilichoeleza ninauhakika nacho.
Hivyo kafanye utafiti au hiyo Hali ikutokee ndio utaelewa andiko langu.
Vinginevyo utake tubishane tuu hapa.
Unataka kusema baba Mchungaji hana nguvu?
Robert usisahau kusoma observations zangu kisha utie neno, tafakari kisha weka neno.
Kwa hiyo ndio kusema Hayati Katibu alimzidi nguvu baba mchungaji wake??
Kuna siku unaandika madini then nyingine mautumbo
Sijaona sababu za kimalez ya watoto hapo inawez kuchangia na sababu za kiuchimu kama mwanamke amekuzd kiuchumi
Naongezea kuwa yanayoweza fanya mwanaume asemehe mkewe kuliwa mojawapo ni kama ifuatavyo
1.Uzito wa kugawana mali
2.Siri za ndani za mwanaume azijuae Mwanamke ambazo zikitoka zitasababisha rapid Fall kwa mwanaume haswa kiuchumi
3.Mwanaume kukithili kuchepuka mpaka fumanizi kazaa kunaswa hivyo huona kuchepuka kwa mkewe ni kisasi na anastahili.
4.Ongezea yako
SureHuyu mdau anachukia inaponitokea kufanya kiswanglishi kiuandishi hajataka kujikita kuelewa mantiki yangu ya kuukataa huu utumwa na sumu inayosumbua wanaume kuwa watumwa wa kuitwa hawana nguvu za kiume, wakati nguvu za kiume hazijawahi kuwa uniform Kwa kila mtu.
Mbona Mshana Jr hatumpondiKwendraaaa!
Misumari isipowahusu mnaiita madini, ikiwachoma mnaita utumbo😂😂
Kumsamehe kisa huna uwezo wa kumtosheleza, hapa mfano unaumwa au dosari yoyote, Kwa kuwa maisha si ngono tu ndani ya ndoa basi kumsamehe yaweza kuwa kulinda maslahi mengine zaidi, Kwa hio anaibeba maumivu ya kusalitiwa ili tu alinde maslahi mengine kama Mali, maisha ya watoto, labda anaumwa hivyo kuuguzwa na matunzo. Opportunity cost.Mwanamke anapocheat haimaanishi anayekucheat ananguvu kukushinda, nop!
Anaweza kuwa anaenda kubadilisha Taste, au kukukomoa, au sababu hiyo uliyoisema(mumewe Hana uwezo).
Ila kinachozungumziwa hapa ni Kumsamehe mchepukaji.
Huo ndio mziki mnene kuliko hata kumfumania