mbowe ni tajiri kabla hata hajaingia chadema, huyo huyo ndo amempa gari uyo mropokaji wenu1. Wenye busara 90% ndio hao matapeli wakubwa kwa kutumia ulimi
2. Lissu kila mtu anamjua ni mkweli luliko ukweli wenyewe.
3. Mbowe atakumbukwa sana tu kwa jinsi alivyojinufaisha kupitia chadema.
Mbowe anaikopesha chadema ili akodi chopa ya kuzungukia hii sahihi na baadqe anadai pesa yake na interest juu haa.
Je mwenye hekima atawale milele?
Kwa hiyo hilo gari ndio noni?mbowe ni tajiri kabla hata hajaingia chadema, huyo huyo ndo amempa gari uyo mropokaji wenu
Kwahiyo mwongo na tapeli wamekutana sio?Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana
Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,
Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters
kwamba ulisahau alivokimbilia ubalozini wakati wa maandamano
tukio unalijua amna haja ya kuzunguka madaWakati huo wewe ulikuwa wapi? Ulikuwa kwenye maandamano?
Alikimbilia ubalozi Kwa ajili ya kitu gani?
Why ubalozi wakampeleka airport?
Hii ni forum ya greathinkers so usiongee mambo juu juu tu
Mashetani ccm wa jf leo mmekuwa watetez wa mbowe
Angekuwa na risasi mwilini kama Lissu naye angekuwa anaenda nje kwa check up.mbona mbowe miaka yote 20 alipambana apa apa hakukimbia
Alikwishapata uzoefu wa risasi. Angebaki kujifanya shujaa kwenye maandamano, mungerudia risasi safari hii msingekosea shabaha. Hata baada ya 2020 election aliamua kukimbilia ubalozi wa Ujerumani kuokoa maisha yake .Bora kukimbia ubaki ukipambana kuliko kujifanya shujaa kwa watu waliodhamiria kuua.hakuenda checkup alikimbia Maandamano kila mtu anajua
Unachouliza wewe siyo kilichoulizwa, mimi nimejibu kilichoulizwa.unajaribu kupindisha swali point apa ni kipindi kile maandamano yanaendelea alikimbilia ubalozini akapata ndege ya nje ya nchi
Hoja yako hasa ni Uongo, hayo mengine hayaeleweki!!!Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana
Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,
Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters
Bora huyo anayewakimbia watesi kuliko yule anayekimbilia jumba jeupe (kwa watesi) kulamba chochote kitu.lissu hana ujasiri kila akibanwa anaenda amsterdam anaawaacha kwenye mataa
Chama ni mali ya wanachama siyo mtu.kwann msianzishe chama kipya
Hawa jobless young youth leo mnawatukana shauri ya huyu Mzee?Quote me wrong, wengi ktk mitandao ya kijamii wanaomponda Mbowe ni jobless young youths walioamua kutupa karata yao kwa Lisu km mkombozi wao akipata nafasi baada ya ccccccm kuwapuuza. Wanaimani akipata uenyekiti hata CHADEMA isipoingia madarakani Lisu atasaidia ku push shida yao ya ajira kwa serikali ya ccccccm bila kupepesa macho au handshake km anavyofanya Mbowe.
Shida ni moja tu kuwa kwa asili ya Tz ya uoga hata Lisu haitishe maandamano yenye malipo hawa vijana hautawaona barabarani hata sku moja, atabaki anabweka tu km mbwa asie na meno