hapo ndio hata mimi huchoka kabisaa hawa jamaa wanavyojipaga umuhimu na upekee wasio stahili na wasio na uwezo nao 🐒CHADEMA ni chama ambacho kina matatizo makubwa sana.Halafu unakuta hapohapo eti nao bila aibu wanasema wanaweza kuongoza Nchi.
Ila Chadema wanazingua sana 😂 hii nini sasa mbona kama meza za sokoni za kupangia nyanya 😂for sure ni muda mrefu wamekua wakifanya mzaha na majukwaa ya kiongozi wao huyu, hembu check kwa mfano jukwaa hili hapa chini dah, ni hatari kabisaaaa. hao walinzi wataokoa nini mjamaa akidondoka apo?🐒
Ukiacha kutumia lugha ya kuudhi tutakwenda sawa,ukivuka mipaka sikuachi,jifunze kuwaheshimu wengine ili nawe uheshimiwe.Narudia kusema kuwa CHADEMA mna matatizo makubwa sana tena sana. Mnahitaji kupata msaada wa kisaikolojia. Mmejaa matusi muda wote utafikiri watu mliochaganyikiwa.
Angalia kwa makini mzee wangu, utaona bendera za Chadema.Sijaona sehemu wameandika chadema.. 😀 😀
ati huyo ni kiongozi wa kitaifa mwenye kupewa ulinzi mkali pembeni, lakini usalama wa majukwaa ya kufanyia mikutano ni mdogo sana. hii si sawa hata kidogo 🐒Ila Chadema wanazingua sana 😂 hii nini sasa mbona kama meza za sokoni za kupangia nyanya 😂
Sasa hapo akianguka watasema n tikiti maji limeanguka au mtu ameanguka.? 😂ati huyo ni kiongozi wa kitaifa mwenye kupewa ulinzi mkali pembeni, lakini usalama wa majukwaa ya kufanyia mikutano ni mdogo sana. hii si sawa hata kidogo 🐒
Wewe na Lukasi ni zile zinaitwaga pawa kapo! Ni kububujikwa na machozi tu yaani 😁😁😁🖐Umekuja kivingine na mifano iliyo hai! Wasipoelewa hapa tena basi...!🤸
Lukasi❌Wewe na Lukasi ni zile zinaitwaga pawa kapo! Ni kububujikwa na machozi tu yaani 😁😁😁🖐
Niko sahihi. Nimeliandika katika Kisukuma!Lukasi❌
Lucas✅
Usituharibie jina tafadhali..!🤸
Achana naye huyo ephen lazizi wangu.huyo anaumia tu anavyoona tunapendana .si unajuwa jukwaa zima kwa sasa kwa sasa mimi na wewe ndio watu tunaopendana mpaka watu wanaona wivu humu.Nitag kwenye huo uzi wako wa kimataifa nije kusoma madini
Ni wale wajinga wa CCM ndiyo wanapenda show offWapigania uhuru hawahitaji majukwaa ya kifahari kufanyia mikutano yao ya ukombozi.
CCM ni washirikina sn unaweza kuona ni jukwaa kumbe ni pundaKatika hili nakuunga mkono 100%
Kama vipi CCM ya Lucas Mwashambwa imchangie Lissu jukwaa ambalo litakuwa movable Kila aendako.
Siasa Si uadui. Cc : Erythrocyte
Hupo sahihi ,alichoandika lazizi wangu ephen ndio sahihi.Niko sahihi. Nimeliandika katika Kisukuma!
Hatutaki! Jina letu ni la kizungu sio kisukumaNiko sahihi. Nimeliandika katika Kisukuma!
Tumieni akili katika mipango yenu .mnatia aibu sana.Ni wale wajinga wa CCM ndiyo wanapenda show off
Peleka ujinga wako hukoTumieni akili katika mipango yenu .mnatia aibu sana.
😂Ila wewe jamaa huwa unanivunja mbavu zanguCCM ni washirikina sn unaweza kuona ni jukwaa kumbe ni punda