Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
hapo ndio hata mimi huchoka kabisaa hawa jamaa wanavyojipaga umuhimu na upekee wasio stahili na wasio na uwezo nao 🐒CHADEMA ni chama ambacho kina matatizo makubwa sana.Halafu unakuta hapohapo eti nao bila aibu wanasema wanaweza kuongoza Nchi.