Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Yaani wanatoka wamepakia walinzi kwenye gari halafu wanakwenda kumpandisha kwenye jukwaa ambalo usalama wake ni mdogo sanaati huyo ni kiongozi wa kitaifa mwenye kupewa ulinzi mkali pembeni, lakini usalama wa majukwaa ya kufanyia mikutano ni mdogo sana. hii si sawa hata kidogo π
Basi yaishe. Usije ukaishia kububujikwa na machozi bure!Hatutaki! Jina letu ni la kizungu sio kisukuma
Hata mimi huwa ananichekesha sana akijifukiza moshi kichwani.unakuta anaanza kumwita kila mtu dada.utasikia ninyi Uwt.ipo siku atamwita hadi baba yake kuwa ni dada.πIla wewe jamaa huwa unanivunja mbavu zangu
Nayajua kutwa yapo kwa waganga wa kienyeji na Ijumaa yapo msikitini + j2 kanisani kwenda kutoa kafaraπIla wewe jamaa huwa unanivunja mbavu zangu
Mjinga wewe unakana jinsia akoHata mimi huwa ananichekesha sana akijifukiza moshi kichwani.unakuta anaanza kumwita kila mtu dada.utasikia ninyi Uwt.ipo siku atamwita hadi baba yake kuwa ni dada.
Sasa wewe nani akuheshimu na mimatusi yako hiyo unayotukana hovyo hovyoUkiacha kutumia lugha ya kuudhi tutakwenda sawa,ukivuka mipaka sikuachi,jifunze kuwaheshimu wengine ili nawe uheshimiwe.
Tangu lini mmekuwa wema nyie CCM? Nawasiwasi utakuwa umetumwa shetani weweYaani wanatoka wamepakia walinzi kwenye gari halafu wanakwenda kumpandisha kwenye jukwaa ambalo usalama wake ni mdogo sana
Hayo ni matusi makubwa sana na udhalilishaji mkubwa kwangu kusema niwe mwana CHADEMA au mfuasi wake.hiyo haiwezekani wala kutokeaLucas Mwashambwa ameanza kuipenda CHADEMA kimoyomoyo, apewe kadi harakaπ
Sasa CHADEMA ikishika Dola, utabaki CCM kufanya nn ilhali KAZI Yako ni uchawa?Hayo ni matusi makubwa sana na udhalilishaji mkubwa kwangu kusema niwe mwana CHADEMA au mfuasi wake.hiyo haiwezekani wala kutokea
Kamwe na katu CHADEMA haiwezi wala haiwezi ikatokea ikashika Dola.Sasa CHADEMA ikishika Dola, utabaki CCM kufanya nn ilhali KAZI Yako ni uchawa?
Kwani JPM hakupora uhuru?Ndio maana nimesema kuwa CHADEMA akili zenu ni fupi sana. Mnapigania uhuru upi?
Kwamba CDM ikishika tu Dola, unaanza kuimwagia misifa ukibubujukwa machozi ya mamba!!Kamwe na katu CHADEMA haiwezi wala haiwezi ikatokea ikashika Dola.
CHADEMA haiwezi kamwe kuongoza Nchi hii.Kwamba CDM ikishika tu Dola, unaanza kuimwagia misifa ukibubujukwa machozi ya mamba!!
Jikite kwenye KAZI Yako ya Kutoa Tabasamu na kububujikwa machozi ya mamba,CHADEMA haiwezi kamwe kuongoza Nchi hii.
Futa na ondoa hizo ndoto zako za mchana. Jikite katika kuokoa chama kutumbukia shimoniJikite kwenye KAZI Yako ya Kutoa Tabasamu na kububujikwa machozi ya mamba,
Kuhusu jinsi Gani CDM watashika Dola, waachie wao na wananchi wenye final say.
Ni makosa madogo madogo. Kumbuka uteuzi hufanyika kabla. Ndio maana kuna barua unaweza kuiona ikisema kuwa uteuzi huu ulianza siku fulani.Lucas Mwashambwa una kauli ipi kuhusu marehemu kuteuliwa?
nadhani kwa uzoefu na mazoea yake ya kuomba achangiwe vitu mbalimbali, mara kwa mara,Sasa hapo akianguka watasema n tikiti maji limeanguka au mtu ameanguka.? π
Kwanza mtu mwenyewe mbovu. Akianguka na kuvunja miguu watasema tena ni magufuli kamvunja miguu baada ya risasi. Hawakawii uongo hawa maana wao uongo ndio itikadi yao.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na marahisi,Kama ambavyo amewahi kusema baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha Tujisahihishe cha mwaka 1962.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kushindwa kumuandalia Makamu Mwenyekiti wake jukwaa zuri ,la kueleweka na lenye usalama wa kutosha. Yaani makamu Mwenyekiti anapewa meza ya kupangiaa nyanya na vitunguu sokoni tena iliyochakaa,kuchoka,kupauka na mbaya sana ili itumike kama jukwaa? Yaani CHADEMA inashindwa kuchangishana pesa kununua mbao ili kutengeneza jukwaa zuri ,la kueleweka na lenye usalama?
Chama bora,makini ,imara na chenye weledi kama CCM huwa kina mpangilio mzuri sana wa mambo yake ambayo yanakuwa yanaakisi afya njema ya akili ya wanachama pamoja na viongozi wake.ukiona chama kinashindwa hata kuandaa tu jukwaa la kiongozi wake mkubwa kama Makamu ,basi ujuwe ndio akili za viongozi wake zilipogota na kufikia. Mpangilio wa vitu huanzia akilini,kichwani nakuja katika matendo. Haya ya kumpatia Lissu meza na kupangiwa matofali chini kwa hakika ni aibu ya karne,ni maajabu yanayo takiwa kuingia katika maajabu ya Nchi na Bara la Afrika.
CHADEMA haijawahi kuwa siriasi,ni chama kipo kipo tu,kinajiendea endea tu kama kipofu gizani.kinajisukuma sukuma tu kama mtu aliyezidiwa na Pombe kichwani.hakina mipango wala mikakati wala maono wala malengo hata ya urefu wa pua zao. Hakiwezi hata kupanga nini kitafanya kesho. ndio maana hakiwezi hata kuweka mipango na maandalizi juu ya jukwaa atakalotumia kiongozi wake kuzungumza na watu.
CHADEMA walivyo wavivu wa kufikiri na kutumia akili vyema ,ikitokea Lissu akaanguka na kuumia Vibaya Mwili wake,utaona kwa ufinyu wa akili wanaanza kuitupia lawama serikali yetu na chama chetu cha Mapinduzi CCM kuwa ndio imesababisha.watasema Lissu na CHADEMA wamehujumiwa.halafu haraka sana kama kawaida yao wataanza kutoa namba za kuomba michango ya kumtibu hospitali na gharama zingine.Maana hiyo ndio kazi ambayo CHADEMA inaweza kuifanya kwa ufanisi mzuri sana, kutokana na kupenda sana pesa za bila jasho.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.