Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

Kodi za watanzania zinatumika vyema na ndio maana kuna maendeleo na miradi ya maendeleo Inaendelea kila kona ya nchi yetu
Huoni hata haya 🤣🤣🤣
Ripoti za CAG huwa huzisomi au kumsikiliza. Usijitoe ufahamu. Ufisadi pro unafanywa na hii awamu. Waibe kwa adabu basi
 
Huoni hata haya 🤣🤣🤣
Ripoti za CAG huwa huzisomi au kumsikiliza. Usijitoe ufahamu. Ufisadi pro unafanywa na hii awamu. Waibe kwa adabu basi
Hakuna anayebakia salama akipatikana na kubainika kufuja pesa za umma.
 
watoto hawana madawati yakutosha achiliambali vyoo salama na madarasa.
hayo maendeleo mnayofanya Niyapi?
Serikali imekuwa ikitengeneza madawati mwaka hadi mwaka.ikumbukwe ya kuwa idadi ya wanafunzi nayo imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka.
 
Wewe ndezi tulia dawa iwaingie.
 
Wapigania uhuru hawahitaji majukwaa ya kifahari kufanyia mikutano yao ya ukombozi.

Ni kweli kabisa



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…