shadrackAmri
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 275
- 4,064
ngoja aendelee kukata viuno tuuAmesifia hadi amepitiliza ndiyo maana hateuliwi wameshamuona ni mwezi mchanga huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja aendelee kukata viuno tuuAmesifia hadi amepitiliza ndiyo maana hateuliwi wameshamuona ni mwezi mchanga huyo
Sana sana ataambulia kuvishwa dera na shangangoja aendelee kukata viuno tuu
Huoni hata haya 🤣🤣🤣Kodi za watanzania zinatumika vyema na ndio maana kuna maendeleo na miradi ya maendeleo Inaendelea kila kona ya nchi yetu
Unaona kazi hiyo. Kama namuona ephen na maono yake ya mbaliAng'ang'ane kama Nabii Yakub bin Isihaka, ametoka mbali na Mwashambwa baada ya kumtia moyo kwenye dhoruba za kejeli na matusi muda si mrefu Mwashambwa anakuwa ana meno kama ya Bashite au Ole Sabaya
Wewe hunaga akili kabisaSana sana ataambulia kuvishwa dera na shanga
Hakuna anayebakia salama akipatikana na kubainika kufuja pesa za umma.Huoni hata haya 🤣🤣🤣
Ripoti za CAG huwa huzisomi au kumsikiliza. Usijitoe ufahamu. Ufisadi pro unafanywa na hii awamu. Waibe kwa adabu basi
Moyo wangu una furaha kwa kuwa nipo jirani na ephenLuca kuna watu wanakusema eti umekosa teuzi marehemu kapata....
Nimebubujikwa machozi ya huzuni
Acha ujinga wako wewe.Amesifia hadi amepitiliza ndiyo maana hateuliwi wameshamuona ni mwezi mchanga huyo
Serikali imekuwa ikitengeneza madawati mwaka hadi mwaka.ikumbukwe ya kuwa idadi ya wanafunzi nayo imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka.watoto hawana madawati yakutosha achiliambali vyoo salama na madarasa.
hayo maendeleo mnayofanya Niyapi?
Naomba Niachie ephen wangu waridi wa moyo wangu😂 😂 😂
Haki ya Mungu Wanawake mna bahati yaani unayo mpetipeti huyu Kiazi, siku mara paap kala shavu lazima akustiri 😂😂😂😂
Wewe ndezi tulia dawa iwaingie.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha "Tujisahihishe" cha mwaka 1962.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kushindwa kumuandalia Makamu Mwenyekiti wake jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama wa kutosha. Yaani Makamu Mwenyekiti anapewa meza ya kupangia nyanya na vitunguu sokoni tena iliyochakaa, kuchoka, kupauka na mbaya sana ili itumike kama jukwaa? Yaani CHADEMA inashindwa kuchangishana pesa kununua mbao ili kutengeneza jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama?
Chama bora, makini, imara na chenye weledi kama CCM huwa kina mpangilio mzuri sana wa mambo yake ambayo yanakuwa yanaakisi afya njema ya akili ya wanachama pamoja na viongozi wake. Ukiiona chama kinashindwa hata kuandaa tu jukwaa la kiongozi wake mkubwa kama Makamu, basi ujue ndio akili za viongozi wake zilipogota na kufikia. Mpangilio wa vitu huanzia akilini, kichwani na kuja katika matendo. Haya ya kumpatia Lissu meza na kupangiwa matofali chini kwa hakika ni aibu ya karne, ni maajabu yanayostahili kuingia katika maajabu ya Nchi na Bara la Afrika.
CHADEMA haijawahi kuwa siriasi, ni chama kipo kipo tu, kinajiendea endea tu kama kipofu gizani. Kinajisukuma sukuma tu kama mtu aliyezidiwa na pombe kichwani. Hakina mipango wala mikakati, wala maono wala malengo hata ya urefu wa pua zao. Hakiwezi hata kupanga nini kitafanya kesho. Ndiyo maana hakiwezi hata kuweka mipango na maandalizi juu ya jukwaa atakalotumia kiongozi wake kuzungumza na watu.
CHADEMA walivyo wavivu wa kufikiri na kutumia akili vyema, ikitokea Lissu akaanguka na kuumia vibaya mwili wake, utaona kwa ufinyu wa akili wanaanza kuitupia lawama serikali yetu na chama chetu cha Mapinduzi CCM kuwa ndio imesababisha. Watasema Lissu na CHADEMA wamehujumiwa. Halafu haraka sana kama kawaida yao wataanza kutoa namba za kuomba michango ya kumtibu hospitali na gharama zingine. Maana hiyo ndio kazi ambayo CHADEMA inaweza kuifanya kwa ufanisi mzuri sana, kutokana na kupenda sana pesa za bila jasho.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kwahio unajiona umejibu kisomi sana ee?Serikali imekuwa ikitengeneza madawati mwaka hadi mwaka.ikumbukwe ya kuwa idadi ya wanafunzi nayo imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka.
Kwa hiyo ulitaka majibu yapi au umekaririshwakwahio unajiona umejibu kisomi sana ee?
Dawa ipi weweWewe ndezi tulia dawa iwaingie.
Yule ni mlemavuWapigania uhuru hawahitaji majukwaa ya kifahari kufanyia mikutano yao ya ukombozi.
Wapigania uhuru hawahitaji majukwaa ya kifahari kufanyia mikutano yao ya ukombozi.
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha "Tujisahihishe" cha mwaka 1962.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kushindwa kumuandalia Makamu Mwenyekiti wake jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama wa kutosha. Yaani Makamu Mwenyekiti anapewa meza ya kupangia nyanya na vitunguu sokoni tena iliyochakaa, kuchoka, kupauka na mbaya sana ili itumike kama jukwaa? Yaani CHADEMA inashindwa kuchangishana pesa kununua mbao ili kutengeneza jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama?
Chama bora, makini, imara na chenye weledi kama CCM huwa kina mpangilio mzuri sana wa mambo yake ambayo yanakuwa yanaakisi afya njema ya akili ya wanachama pamoja na viongozi wake. Ukiiona chama kinashindwa hata kuandaa tu jukwaa la kiongozi wake mkubwa kama Makamu, basi ujue ndio akili za viongozi wake zilipogota na kufikia. Mpangilio wa vitu huanzia akilini, kichwani na kuja katika matendo. Haya ya kumpatia Lissu meza na kupangiwa matofali chini kwa hakika ni aibu ya karne, ni maajabu yanayostahili kuingia katika maajabu ya Nchi na Bara la Afrika.
CHADEMA haijawahi kuwa siriasi, ni chama kipo kipo tu, kinajiendea endea tu kama kipofu gizani. Kinajisukuma sukuma tu kama mtu aliyezidiwa na pombe kichwani. Hakina mipango wala mikakati, wala maono wala malengo hata ya urefu wa pua zao. Hakiwezi hata kupanga nini kitafanya kesho. Ndiyo maana hakiwezi hata kuweka mipango na maandalizi juu ya jukwaa atakalotumia kiongozi wake kuzungumza na watu.
CHADEMA walivyo wavivu wa kufikiri na kutumia akili vyema, ikitokea Lissu akaanguka na kuumia vibaya mwili wake, utaona kwa ufinyu wa akili wanaanza kuitupia lawama serikali yetu na chama chetu cha Mapinduzi CCM kuwa ndio imesababisha. Watasema Lissu na CHADEMA wamehujumiwa. Halafu haraka sana kama kawaida yao wataanza kutoa namba za kuomba michango ya kumtibu hospitali na gharama zingine. Maana hiyo ndio kazi ambayo CHADEMA inaweza kuifanya kwa ufanisi mzuri sana, kutokana na kupenda sana pesa za bila jasho.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Usijali mkuu .picha zingine zipo humu humu.angalia hata page ya kwanza
Kwanini sasa anataka gari la kifahari la mamilioni ya pesa??? Kwanini asinunue hata la millioni 20?Wapigania uhuru hawahitaji majukwaa ya kifahari kufanyia mikutano yao ya ukombozi.