Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

for sure ni muda mrefu wamekua wakifanya mzaha na majukwaa ya kiongozi wao huyu, hembu check kwa mfano jukwaa hili hapa chini dah, ni hatari kabisaaaa. hao walinzi wataokoa nini mjamaa akidondoka apo?πŸ’
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka sana
 
Kwanini sasa anataka gari la kifahari la mamilioni ya pesa??? Kwanini asinunue hata la millioni 20?
Kwani ni Tundu Lissu ameomba kununuliwa gari? Wakereketwa ndiyo wamependekeza hivyo. Na kwa akili yako kwa safari anazofanya nchi nzima gari ya M20 inaweza kuhimili mizunguko hiyo tena kwenye rough roads? Wewe unaleta ligi za kitoto.
 
 
Kwani ni Tundu Lissu ameomba kununuliwa gari? Wakereketwa ndiyo wamependekeza hivyo. Na kwa akili yako kwa safari anazofanya nchi nzima gari ya M20 inaweza kuhimili mizunguko hiyo tena kwenye rough roads? Wewe unaleta ligi za kitoto.
Sasa nataka unijibu swali hili kwa akili yako hiyo hiyo uliyotumia kujibu swali hili. Kama ndio hivyo je kwanini mlikuwa mnashupaza shingo na kupinga serikali ikiwapa majibu ya aina hiyo kuwa inanunua magari hayo ya VX kwa sababu ya kutembea umbali mrefu Nchini na kupita maeneo mbalimbali yenye aina tofautitofauti ya barabara,kwa kuwa gari hizo ni imara,salama na himilivu?

Si unaona namna ambavyo CHADEMA huwa mnajisahau na kusahau mlizungumza nini jana? Ndio maana nasemega kuwa CHADEMA hamjitambui hata kidogo.
 
Huo upendo umeoutoa wapi ndugu chawa? Kila siku unatamani hao watu wafutike
 
Soma mada uielewe vizuri na siyo kukimbilia kuandika tu visivyoeleweka
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Yaani ulivyo na roho mbaya unatamani Lissu awe hata bubu maana anapiga Spana za moto na kupelekea pangua pangua ya mara kwa mara
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Yaani ulivyo na roho mbaya unatamani Lissu awe hata bubu maana anapiga Spana za moto na kupelekea pangua pangua ya mara kwa mara
Lissu anasaidia sana kuisambaratisha CHADEMA kwa mdomo wake mwenyewe.
 
Siyo Chadema tu inapinga matumizi wa magari hayo hata serikali yenyewe kwa vipindi tofauti ilikuwa inasema itaachana na matumizi ya magari hayo lakini kila mwaka inaendelea kuyaagiza. Tatizo wewe akili yako imejaa chuki kwa Chadema. Iulize serikali yako ya CCM kuanzia awamu ya tatu,nne na ya tano walikuwa wakitutangazia kuwa wataacha kuyanunua lakini hadi leo wanayaleta. Anzia hapo
 
Jibu swali nililokuuliza acha ujinga wako hapa wewe. Nilijuwa tu kwa akili yako hiyo huwezi ukajibu swali langu.
 
Chadema itasambaratika lakini wananchi watakuwa wameshapata elimu ya kujitambua
Watanzania walishaipuuza CHADEMA muda mrefu sana.ndio maana unaona hata michango ya Lissu inakwenda kwa kusua sua sana.

Embu fikiria kama watu laki moja tu wangeamua kuchanga elfu moja moja tu maana yake ingekuwa ni sawa na millioni mia moja.
1000x100,000=100,000,000/=

Lakini mpaka sasa hela hiyo haijapatikana.ndio uone kuwa watanzania hawawaungi mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…