Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha "Tujisahihishe" cha mwaka 1962.

Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kushindwa kumuandalia Makamu Mwenyekiti wake jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama wa kutosha. Yaani Makamu Mwenyekiti anapewa meza ya kupangia nyanya na vitunguu sokoni tena iliyochakaa, kuchoka, kupauka na mbaya sana ili itumike kama jukwaa? Yaani CHADEMA inashindwa kuchangishana pesa kununua mbao ili kutengeneza jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama?

Chama bora, makini, imara na chenye weledi kama CCM huwa kina mpangilio mzuri sana wa mambo yake ambayo yanakuwa yanaakisi afya njema ya akili ya wanachama pamoja na viongozi wake. Ukiiona chama kinashindwa hata kuandaa tu jukwaa la kiongozi wake mkubwa kama Makamu, basi ujue ndio akili za viongozi wake zilipogota na kufikia. Mpangilio wa vitu huanzia akilini, kichwani na kuja katika matendo. Haya ya kumpatia Lissu meza na kupangiwa matofali chini kwa hakika ni aibu ya karne, ni maajabu yanayostahili kuingia katika maajabu ya Nchi na Bara la Afrika.

CHADEMA haijawahi kuwa siriasi, ni chama kipo kipo tu, kinajiendea endea tu kama kipofu gizani. Kinajisukuma sukuma tu kama mtu aliyezidiwa na pombe kichwani. Hakina mipango wala mikakati, wala maono wala malengo hata ya urefu wa pua zao. Hakiwezi hata kupanga nini kitafanya kesho. Ndiyo maana hakiwezi hata kuweka mipango na maandalizi juu ya jukwaa atakalotumia kiongozi wake kuzungumza na watu.

CHADEMA walivyo wavivu wa kufikiri na kutumia akili vyema, ikitokea Lissu akaanguka na kuumia vibaya mwili wake, utaona kwa ufinyu wa akili wanaanza kuitupia lawama serikali yetu na chama chetu cha Mapinduzi CCM kuwa ndio imesababisha. Watasema Lissu na CHADEMA wamehujumiwa. Halafu haraka sana kama kawaida yao wataanza kutoa namba za kuomba michango ya kumtibu hospitali na gharama zingine. Maana hiyo ndio kazi ambayo CHADEMA inaweza kuifanya kwa ufanisi mzuri sana, kutokana na kupenda sana pesa za bila jasho.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakua shahidi no 1
 
Kwanza kabisa usiniite mjinga kwani maelezo niliyokupa yamejibu swali lako,ni kwa vile akilli yako ni finyu umeshindwa kuliona jibu,huna akili kabisa wewe ni mpumbavu hata hustahili kujibishana na mimi tafuta wapumbavu wenzako.
Tangia lini ndugu yangu umekuwa na akili ya kuelewa mambo mazito yanayohitaji akili kubwa na yenye afya njema? Hivi unaweza kujibu hoja kwa hoja? Mimi nachojuwa ni kuwa wewe hoja zako ni matusi tu ndio kazi ambayo unaiweza
 
Wewe ulianza kuniita mjinga badala ya kujadili hoja ndiyo nimekuja na hitimisho kuwa wewe ni mpumbavu ambaye unasahau hata neno ulilosema dakika chache tu zilizopita ndiyo nimekushauri utafute wapumbavu wenzako wenye mtindio wa ubongo kama wewe ndiyo mtaelewana. Huna akili za kutosha kufanya debate na mimi bali una akili kiduchu ya kusifia na kutukuza watawala ambao hata hawajui existence yako.
 
Nilichozungumza kuhusu wewe ni sahihi kabisa na wala sijakosea hata kidogo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha "Tujisahihishe" cha mwaka 1962.

Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kushindwa kumuandalia Makamu Mwenyekiti wake jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama wa kutosha. Yaani Makamu Mwenyekiti anapewa meza ya kupangia nyanya na vitunguu sokoni tena iliyochakaa, kuchoka, kupauka na mbaya sana ili itumike kama jukwaa? Yaani CHADEMA inashindwa kuchangishana pesa kununua mbao ili kutengeneza jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama?

Chama bora, makini, imara na chenye weledi kama CCM huwa kina mpangilio mzuri sana wa mambo yake ambayo yanakuwa yanaakisi afya njema ya akili ya wanachama pamoja na viongozi wake. Ukiiona chama kinashindwa hata kuandaa tu jukwaa la kiongozi wake mkubwa kama Makamu, basi ujue ndio akili za viongozi wake zilipogota na kufikia. Mpangilio wa vitu huanzia akilini, kichwani na kuja katika matendo. Haya ya kumpatia Lissu meza na kupangiwa matofali chini kwa hakika ni aibu ya karne, ni maajabu yanayostahili kuingia katika maajabu ya Nchi na Bara la Afrika.

CHADEMA haijawahi kuwa siriasi, ni chama kipo kipo tu, kinajiendea endea tu kama kipofu gizani. Kinajisukuma sukuma tu kama mtu aliyezidiwa na pombe kichwani. Hakina mipango wala mikakati, wala maono wala malengo hata ya urefu wa pua zao. Hakiwezi hata kupanga nini kitafanya kesho. Ndiyo maana hakiwezi hata kuweka mipango na maandalizi juu ya jukwaa atakalotumia kiongozi wake kuzungumza na watu.

CHADEMA walivyo wavivu wa kufikiri na kutumia akili vyema, ikitokea Lissu akaanguka na kuumia vibaya mwili wake, utaona kwa ufinyu wa akili wanaanza kuitupia lawama serikali yetu na chama chetu cha Mapinduzi CCM kuwa ndio imesababisha. Watasema Lissu na CHADEMA wamehujumiwa. Halafu haraka sana kama kawaida yao wataanza kutoa namba za kuomba michango ya kumtibu hospitali na gharama zingine. Maana hiyo ndio kazi ambayo CHADEMA inaweza kuifanya kwa ufanisi mzuri sana, kutokana na kupenda sana pesa za bila jasho.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jinga wewe. Kama yanateua marehemu ipo siku yatateua na zombie. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Mi nadhani hawampendi ndiyo maana wanamwandalia majukwaa ya hivi 👇
Screenshot_20230522-090637.png
 
Wananiheshimu wenye akili timamu. Sasa jifanye jeuri unitolee lugha ya matusi uone. Unajiona wewe ni mtu maalum sana hapa jukwaani wakati ni chawa tu unayebangaiza upate kuteuliwa
Wewe na huyo lucas hamna tofauti kila mmoja ni chawa wa sehemu yake wewe chawa wa Chadema yeye wa CCM
 
Kuna tofauti kubwa sana mimi na huyo bwege mimi nashabikia chama yeye ni chawa wa watu. Niwekee hata post moja ya kwangu namshabikia na kumsifia kiongozi yoyote wa Chadema. Na mimi naingia humu kama leisure tu tofauti na huyo anayepinda mgongo kuandika mashairi ya kuwasifia watawala kwa malipo au matarajio ya kuteuliwa.
 
Nilishasema wewe una matatizo makubwa sana kichwani mwako
 
Back
Top Bottom