Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

Manyanza kakuandikia uzi.Kajisomee.Ni kama kioo kwako.
Uzi wake nimeuona ambao unadhihirisha tatizo lile lile la uvivu wa kutumia akili na kutafuta majibu mepesi na marahisi tu. Si unaona badala ya kujadili ukweli na usahihi wa hoja yangu yeye amekimbilia kusema mimi nina chuki?
 
Back
Top Bottom