britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI
CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa demokrasia ya kweli na kama wapo kwenye kundi la wadai katiba Mpya ya Tanzania basi Wakumbuke Kuwa Katiba ya chadema inaruhusu anachofanya Lissu na kama wanampinga basi WASIWASHANGAE WANAOSEMA KUWA KATIBA MPYA KWA SASA BADO ...yaani wasiwashangae kabisaaa maana hao hawako sawa na wao wanaoona Lisu kugombea ni uasi na kwamba sio democracy..
Maana kumbe wanatukumbusha kuwa swala sio KATIBA MPYA maana inaweza ikawepo na isifuatwe kama watakavyo wao sasa hivi ndani ya CHADEMA maana hakuna jipya kwalo...
CDM wanaoona kuwa LISSU HAFAI KUWA MWENYEKITI kwa kasoro zoote wanazomtolea Leo hii kisa tu anataka kugombea uenyekiti na MBOWE itatakiwa pia watuombe radhi Watanzania kwa KUMUONA LISSU ANAFAA KUGOMBEA URAIS 2020
Maana wao mwaka ule walituaminisha Watanzania woote kuwa LISSU ANAFAA KUWA RAIS
Lakini Leo hii wanatuambia kuwa hafai kuwa hata mwenyekiti wa Wilaya maana hajawahi kushika nafasi ya uongozi wa kuchaguliwa ndani ya CHADEMA level za chini na zoefu za uongozi huo ...
Wanachotudhihirishia CHADEMA ni kuwa 2020 walitudhihaki hawakuwa na mgombea na kuwa walibwagwa kwa haki
Maana Kama wao ndani wanamwaga hizo siri nje basi wajue Watanzania ni smart than wao....
Hekima ni kwa MBOWE KU STEP DOWN KAMA MKWEWE MZEE MTEI NA shemeji yake Mtei Bob Makani....
Vinginevyo tutajua kuwa CHADEMA SIO CHAMA SERIOUS TENA na pengine MBOWE anaandaa Mwanae aje kugombea 2029
Kwani kuna ubaya gani Mbowe akapumzukika na akabaki mshauri tu wa chama????
Britanicca