Ipo siku mtakuja kunielewa kuwa CHADEMA sio chama halisi cha upinzani na top layer ya viongozi wa upinzani ni wa kwetu CCM

Mbowe katugeuza mandondocha for fvcking 20+ yrs kumbe yeye anafanya biashara zake za Ubia na CCM
Poleni mkuu, ndio siasa zetu za kiafrika. Wengine tuliliona hili toka 2015 alipomkaribisha yule CCM mwenzake alietumwa na Kikwete aje ausambaratishe upinzani (ukawa halisi) uliokuwa umeshajipanga vizuri kuichomoa CCM madarakani.

Mbaya zaidi CCM huyo ambae tayari alikuwa na kashfa gunia akapewa nafasi ya kugombea nafasi ya juu kabisa ya nchi ya uraisi na kulazimisha wengine wamdekie barabara.
 

Kuna mapumbavu yameandamana kumsinikiza Mbowe agombee kwa mara ya Tano . Aibu kubwa sana kwa Afrika .
Uongozi kwa mtu mwadilifu ni mzigo sana
.
Lakini Wetu wamshauri Mbowe asigombee ili aagwe kwa Heshima kubwa sana nchi nzima .Lakini pia Mbowe anatakiwa aangalie Kesho ya mtoto wake ambaye anaonekana kuwa ni mpambanaji mzuri sana . Mbowe akiondoka na kukabidhi kijiti kwa mengine atakua amamwekea mtoto wake mazingira mazuri sana ya kuja kupata nafasi ya juu ya uongozi wa Chama .
 
Oooookay, hv lissu hakupata mgao wa lowassa (r.i.p) ee?!!! Aliukataa, hakuugusa, alitoka nje kukemea, au vp?
 
Unajua kinachofanya mwananchi ahesabike ni mwanachama wa chama fulani? Kwa kifupi kadi tu siyo uthibitisho wa uanachama wa chama fulani. Mbowe ni mpinzani (au sahihi zaidi ni ''alikuwa'') wa kweli ila ana ubinafsi na tamaa. Pia ana umangi-meza. Na mbaya zaidi safari hii Samia amemghilibu mpaka akaingia kingi na kugeuka mpinzani feki
 
Na CCM ni ya Kwenu ? Nyie kina Nani ?

Nadhani na wewe hujui sasa hivi hizi ni Platforms tu za kujitafutia Kura za kwenda Kula au kuendelea Kula au mwenye hizi platforms, sio wananchi wala wanachama, bali vibaka / walafi wasio wazalendo wenye njaa and the only language they know ni kujinufaisha.... That's Politics as it is currently.... Case in Point majirani Kenya kila mwaka Chama Kipya watu walewale...., Same Script Different Cast
 
Hayo ''mapumbavu'' yaliyoandamana yamefanya hivyo kwa sababu ya tamaa binafsi i.e. yanatetea matumbo yao. Sijui ni kwa nini Mbowe hashtuki. Alisema familia yake inamlilia sana asiendelee lakini ''familia'' ya CHADEMA inamashinikiza aendelee. Kitu ambacho hajui ni kuwa familia yake inampenda ndiyo maana inampa huyo ushauri wakati ''familia'' ya CHADEMA'' inamtumia tu. Kuna siku atakuja kugundua hili.
 
Hatari Sana mkuu, Kwa maana nyingine ni kwamba Mheshimiwa Lisu anataka kuhatarisha Ndoa Kati ya Mbowe na CCM🤔
Absolutely!

Jamaa hawataki mtu wa moto kama alivyo Lissu
 


Ni kweli ninayaita mapumbavu kwa sababu siku Mbowe alipoitisha maandamano ambayo bila shaka yangeleta mabadilko makubwa sana kwa watawala na hata uchaguzi wa serikali za mitaa usingekuwa wa kiduwanzi kama ulivyokua, Haya mapumbavu hawakutoa pua zao nje kuandamana isipokua Mbowe peke yake na watoto wake walioona ni bora kufa na baba yao.
Watoto wa Mbowe kwa kweli walionyesha upendo mkubwa sana lakini Familia ya Chadema mapumbavu kabisa hayakutoka walimwacha mbowe peke yake na kujikuta anakamatwa kama Kibaka anayeiba kuku .Halafu eti wote wanampenda .

Mbowe aking'atuka kwa heshima atakua amejijengea heshma kubwa sana na naamini Siku moja huko Mbeleni Mtoto wake atapewa tena Uenyekiti wa Chama kwa heshma kubwa ya baba yake .

Alilazimishwa kugombea ni wazi kuwa anaweza akashinda kutokana na pesa nyingi zinazozunguka zilizotokana na uuzwaji wa Bandari. Wajumbe wa atapigwa pesa za kutosha na wanaweza wakamchagua kulinda maslahi na nafasi zao.

Lakini pia Mbowe alipogombea ni wazi hata haya mawe tunayoyapiga huku hatutayapiga na tutamuaga kwa heshma kubwa sana na kwa mbwembwe kubwa na kwa raha kubwa sana atakapokua anapita mikoani kumtambulisha mwenyekiti mpya . Hakika Mbowe asipogombea atajijengea heshima kubwa sana sana.

Kisu ndiye mtu sahihi kwa sasa ambapo Ufisadi ni mkubwa na watanzania kwa sasa hakuna mtu wanayemwamini kama Lisu na Mwabukusi.
Huku akikaa Lisu kule Mwabukusi. Wananchi wakiwa na matumaini ya kumpata kiongozi anayeweza kusimamia sheria na kulinda watu wake na kushawishi jumuiya za kimataifa kuwawekea vikwazo majizi yanayaoliibia Taifa hili na kwenda kuficha mapesa huko Dubai na Marekani nadhani patachangamka sana .
.
 
Sasa ukute na Lissu naye ni TISS wanafanya mchakato kumsaidia Boss wao Samia ashinde kirahisi
 
Lissu ni mwaharakati sio kiongozi. Kiongozi lazima awe na busara vinginevyo itakuwa ni vurugu tu sio kwa uropokaji ule aisee.
 
Mageuzi hayaletwi na Mbowe. Uhuni unaifanyika ni wananchi kudai
Nani kasema mageuzi yanaletwa na Mbowe. Kwenye mageuzi siku zote huwa ni kazi ya watu wengi ila ni lazima awepo kiongozi mzuri mwenye uwezo wa kuwa-organise watu. Ukiwa na jeshi kubwa lenye askari shupavu na silaha nzuri kabisa bila uongozi mzuri huwezi kushinda vita,
 
Mchezo niliushtukia mapema
Ata yale maandamano yako sikushiriki maana yale yalikuwa matembezi tu kama yale ya meimosi
Kwa kifupi hakuna chama cha upinzani chenye nia dhabiti ya kuiondoa ccm madarakani.
Ila watu wenye nia thabiti wapo..
 
Lissu ni Msaliti wa Nchi pia nimtetea mashoga!
 

..umeandika vizuri lakini kuna mahali umepotosha.

..Mzee Mohamed Bob Nyanga Makani hakuwa shemeji wa Edwin Mtei.

..Mke wa Bob Makani alikuwa mwenyeji wa Mbeya.
 
Sasa kama ni hivo basi atoke CHADEMA akaanzishe chama chake ! Simple tu !
Kwani chadema ni ya babake, acha kumpangia....chadema inapokea ruzuku ambazo ni kodi zetu watanzania.
Mbowe anatia aibu, ampishe Lissu ambaye ma ccm yanamhara wote hadi bi ushungi!!.
Halafu sijui kwann machawa ya mbowe hamna hoja wala akili!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…