Ipo siku mtakuja kunielewa kuwa CHADEMA sio chama halisi cha upinzani na top layer ya viongozi wa upinzani ni wa kwetu CCM

Lisu aache kekele kama anaona Chadema kina mapungufu kibao ahame au akaanzishe chake badala ya kelele zake kila siku kutuhumu wenzie bila ushahidi

Ahame ahamie huko akuonako kuzuri au aanzishe chama chake aache kusumhua wenzie
 
Umesema vyema, mkuu, watanzania tunachezewa mchezo wa siasa ni lisu ndio tumain la watanzania
 
Mbona mnahatibu uchaguzi kila kukicha?
 
Uchaguzi huu litamwagwa fungu kubwa sana la pesa toka ccm
Hivi ni lini tiss itawaacha wapinzani wafanye siasa kwa uhuru? Siku zote tiss ni kikwazo kwa demokrasia ili kuyalinda maccm

Ifike pahala hata hao tiss wawambie ccm wasema basi i kwa miaka yote hii inatosha. Tuwaache wapumue
 
Mpe Lissu Chadema iwe kama NCCR ya Joseph Selasini au CUF ya Lipumba from Hero to Zero kuendesha Chama inataka organizational skills sio mihemko ya kisiasa.
Uongozi wake wa TLS ni ushahidi tosha
 
Hivi ni lini tiss itawaacha wapinzani wafanye siasa kwa uhuru? Siku zote tiss ni kikwazo kwa demokrasia ili kuyalinda maccm

Ifike pahala hata hao tiss wawambie ccm wasema basi i kwa miaka yote hii inatosha. Tuwaache wapumue
TISS=UVCCM,=CCM
 
Sasa nimeelewa kwa nini chama tawala na wafuasi wa Mwenyekiti hawataki kusikia swala la Lissu kuwa Mwenyekiti.
 
Hakijawahi kuwa na haitakaa kuja kutokea. Hizi ni project za kula hela kwa mgongo wa siasa
 
Mbowe katugeuza mandondocha for fvcking 20+ yrs kumbe yeye anafanya biashara zake za Ubia na CCM
😁😁mbowe ni muhuni toka mdogo chadema ilikuwa ni sakosi yake na familia yake...watu amjiulizi kwanini usajili wa vyama vipya umekuwa hakuna hiyo ni kazi maususi ya mbowe na samia
 
Sasa nimeelewa kwa nini chama tawala na wafuasi wa Mwenyekiti hawataki kusikia swala la Lissu kuwa Mwenyekiti.
Lissu anaumizwa Sana na upinzani fake ndio maana amesema liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…