Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

Yaani watanzania wamchague Lissu, kuwa rais wakati kujenga tu ofisi ya chama Chadema wameshindwa miaka 22 sasa.
 
Ahaaa wacha tupate magufuli wa upinzani kusudi awakomeshe was upande wa pili Kama wao wanavyowatesa wenzao kwa kesi za uongo.
 
Inawezekana.

Lakini Kama Magu alikuwa Dikteta Uchwara, kwa Lissu tuna Dikteta aliyekamilika.
 
Tundu Lissu atakuwa rais hiyo ipo wazi,tuwe tunataka au hatutaki jamaa amepangiwa kuwa rais na atakuwa.

Ila jamaa ni dikteta mwingine,tutalimia meno,japo hatabana uchumi kama yule mchunga Ng'ombe.
 
Lisu ndo Rais wa Tanzania 2025,Ukweli ndo huo anaebisha asubili aone.Kiunabii huyo ndo atailetea Nchi maendeleo na katika utawala wake Kila kitu kitaenda vizuri in short Lusu ni mteule .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawaijui Tanzania kwa undani na wanachangia kwa mihemuko hii mada .Hivi mnajua nani alilihusu Tundu Lisu aje agombee 2020 dhidi ya JPM?
Je mnadhani alijileta tu.Basi kama JPM hakua chochote mbele ya CCM na bado wenye Nchi wakampa Urais basi itkua hivohivo kwa Lisu wenye Nchi watampa 2025 .Anaebisha asubili muda ufike ndo ataamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote kheri tu hata wewe mwandishi tunakuombea siku moja uwe raisi. Alafu Tanzania yenyewe mbona kila mtu anaweza kumaliza miaka yake ya uongozi kama raisi. Tz hata mtu wa std 7 anaongoza vizuri sana. Muulize Gwaji Boy.
 
Huyu aliwatumikia mabwana zake na leo ni Rais....

Ila Tanzania haijatawaliwa na UFARANSA 🀣🀣🀣
 
Kwa kuwezeshwa na huyu?!!!!🀣🀣

Huyu bwana chama chake CDU kimeshindwa uchaguzi wa Ujerumani....nao ndio SPONSORS wakuu wa CHADEMA....

Hizi kweli ni ndoto za alinacha......
 
Yote yawezekana ukizingatia kuwa CCM iko kwenye ICU na bila police hawawezi hata kushindana na TLP ya mzee wa Kiraracha. Ni suala tu la muda na siku wakifia ICU ndiyo itakuwa salama ya JMT.
 
Ndoto za alinacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…