Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

Hao wananchi unaosema wamechoka, binafsi sijawahi kuwaona wakiongea kuhusu serikali zaidi ya kupambana na maisha yao
sisi tunaokoment hapa sio wananchi? Wale waliokuwa Mwanza kwene katiba mpya vikoso vyote vya jeshi na polisi vikahamia huko sio Wananchi?

Vile vikoso kutoka burundi kukodiwa n mwendazake kuja kupamba na wakenya tanzania. Ccm mnakuwaga hamna akili eeh!
 
Jipe Matumaini hewa.
 
Upinzani upi uchukue nchi... wakati makamanda wote ndo wengine ugaidi wengine ukimbizi
 
Sasa hapo c mmekusanyika kwa nia moja ya hiyo katiba, unachomaanisha hapo ni mmekutana ili kuongelea katiba hvy issue itakuwa katiba tuu, mm nazungumzia ile watu wapo kitaa au kwenye shughuli zao na kuanza kuongelea katiba
 
Hata maskini waliwahi kuwaza kuwa siku moja watakuwa matajiri mpaka wakafa na watoto wa watoto wao wakafa maskini.
Hilo halitotokea Tanzania. Chama cha Mapinduzi kina kila aina ya Rasilimali unaoweza kufikiria. Kila kata, kila mtaa, kila kitongoji tuna viongozi
 
Nawashauri kujenga chama anzieni chini. Hatujengi ghorofa kwa kuanza juu. Hamna uwezo wa kuchukua nchi.
 
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uv
nchi hii hakuna chama Cha upinzani.
 
Kaka hiyo ni ndoto, so rahisi kila kitu katika nchi hii kipo CCM oriented, maybe 50 years to come
 
Tusiwasingizie wapinzani. Ni sisi wenyewe wananchi. Tukitaka, hakuna chombo chochote ama jeshi lolote lile litaweza kutuzuia.
 
Sirro mwenyewe kakaidi amri ya serikali hamduni ndiyo kapuuza kabisa, 2025 tunatupa jongoo na mti wake,
 
KATIBA MPYA NDO DAWA YAO.
 
Upinzani chance ya kutoboa ilikuwa 2015. Jamaa walikuwa tayari wana advantage kwa asilimia 90% maana wanainchi walijitoa sana.

Walisimama na upinzani bila kujali vyama vyao. Mbowe akazingua kumsajili lowasa na kumtema Dr. Slaa. Lipumba akaleta ufala wa kujitoa na kusepa nje ya nchi. Vyama vingine vikawa vinajibagua havitaki kuunga mkono juhudi za upinzani.

Ccm ilikuwa inapumulia mashine ila tamaa za viongozi wa Upinzani zilidharau jitihada za wananchi na kuangalia masilahi yao.

Ndio maana sasa hivi hata wapige yowee gani raia wanawatazama tu.

Mimi tokea pale niliwadharau sana hawa upinzani na nikaona hawana nia ya dhati ya kuwa na raia, wana harakati zao binafsi.
 
hatuwezi kukinukisha kisa kiongozi wa upinzani kapigwa lokapu kwanza hao upinzani hawatusaidii kitu, kazi Yao kubwabwaja bila kuchukua hatua.Tutakinukisha kwa sababu za msingi zaidi mfano tozo.
 
hizo Ni hatua za kizamani na zilishapitwa na wakati.
 

Ingekuwa siyo UCHAFUZI mkuu, CCM ilikwisha ondoka 28 Oktoba 2020.
 
hizo rasilimali Ni za watanzania wote Ila tu mmezipora, Mna biashara gani nyie ya kumiliki hivo vitu.
 
Hilo mbona liko wazi. It is just a matter of time. Siku tu vyombo vya dola vikikoma kuingilia uchaguzi CCM bye bye. By the way Talban walikuwa wanatawala kabla ya kufurushwa na majeshi ya Marekani kwenye kumsaka Osama bin Laden after September 11.
Muda was kujipanga nI sasa. 2025 njia nyeupe8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…