Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia nyeupe kwa wakina nani Sasa. ..msiropoke kama mahayawani unazungumzia watu ambao hawapo. .kwa sababu upinzani wenyewe ni nani...Lissuu anatetea mashoga ulayaMuda was kujipanga nI sasa. 2025 njia nyeupe8
Hahaahh unaumwa wewe kwa hiyo rais angekuwa nani kwa sasaIngekuwa siyo UCHAFUZI mkuu, CCM ilikwisha ondoka 28 Oktoba 2020.
Sasa uitoe uweke nini jiwe auHatutahitaji chama cha upinzani kuitoa SISIEMU. Siku zinakuja.
Basi magonjwa mtambokaLakini so nyie machadema.
Tz CCM ILISHA FUTIKA,IPO POLICE NA CHADEMALakini so nyie machadema.tz
Heche, aka ngumijiwe,Njia nyeupe kwa wakina nani Sasa. ..msiropoke kama mahayawani unazungumzia watu ambao hawapo. .kwa sababu upinzani wenyewe ni nani...Lissuu anatetea mashoga ulaya
Huyo Mboweei ni gaidi
Lemaa kakimbia madeni kaamua kwenda kuwa mkimbizi eti wa Kisiasa. .
Wakina mama wale covid19 wanasubiri kuingia CCM
Zito hana lolote wala Hajitambui
Sasa kuna nani Huyo wa njia nyeupe...
talibani wamechukua nchi yao kutoka kwenye mikono ya wamarekani, jiongeze kidogo ndugu unatia aibu kwa fikra zako za kitotoNimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.
Hata usemeje ndio nimeshasema ujue.Basi magonjwa mtamboka
Endelea kusema hivyo hivyo huku siku zinakwenda.Tz CCM ILISHA FUTIKA,IPO POLICE NA CHADEMA
Wee Moto wa kweli Unafananisha Taliban na Wabongo sijui unaishi ulimwengu gani unaonekana kama mjinga fulani .Talibani wamejitambua lkn wewe au wabongo hawajitambui .Unajua vyama vya siasa ni kama timu za mpira tu saa nyengine bingwa Simba saa nyengine bingwa Yanga au timu yyote so mabadiliko lazima yatatokea tu its just a matter of time tu .Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.
Ni swala mda tu,CHADEMA kila ipitapo kwenye matatizo ndivyo inavyongara zaidi,hamjifunzi tu?Endelea kusema hivyo hivyo huku siku zinakwenda.
Mungu wabariki wapinzani!
ibariki sana CCM
Mungu endelea kubariki CCM kama ulivyo fanya tangu 1977. Na endelea kuwaweka CHADEMA hapo hapo ulipowaweka, wazidi kupitia shida zao kama kawaida! Ameen rabbil'alaminMungu wabariki wapinzani!
Unaandika insha?Ni swala mda tu,CHADEMA kila ipitapo kwenye matatizo ndivyo inavyongara zaidi,hamjifunzi tu?
Tumeenda kwenye uchaguzi 2020, mkiamini CHADEMA IMEKWISHA ,kilichowakuta mnakijua, mpaka valisha jezi zetu watoto wa shule kuongeza vichwa, achia mbali na wagombea wenu kupiga mpaka magoti, kukimbia na mabox ya kura
Ccm imejenga watu ambao badala ya kukitumikia Chama ,wao wanataka Chama kiwatumikie wao, Ndo maana kimekufa vibaya ichi Chama, watu wapo vizia teuzi
Mnaitaji viongozi wabunifu katika chama ,Ili kukisuka upya ,kutengeneza vijana makini na wenye UWEZO wa kujibu hoja, wenye imani ya kweli kukijenga bila kujali matumbo yao ,au teuzi, ACHA teuzi zije KWA kufanya kazi ,
Kwa maneno haya matupu CCM itakuwepo hata baada ya miaka 100 ya uhuru wa Tanzania!Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.
Mungu yupi?M
Mungu endelea kubariki CCM kama ulivyo fanya tangu 1977. Na endelea kuwaweka CHADEMA hapo hapo ulipowaweka, wazidi kupitia shida zao kama kawaida! Ameen rabbil'alamin
Kumbuka sio Mungu wa chatoWabariki wawe Kama Taliban.
Hata gwajibwai pia ni mpinzaniWapinzani unaozungumzia ni kina Nani hasa. .anza kumchambua mmoja mmoja utagundua hakuna mpinzani hapa ni wachumia tumbo tu..labda waje wapya