Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.
Kweli mkuu. Ni suala la mda tu. Nyayo zote zinaelekea kule.
 
Ilishindikana wakati wa UKAWA, haitawezekana tena, CCM itatawala milele.
 
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.
1629720867196.png


2878995_images_9.jpeg
 
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.

Nakuita ewe 2035 yaani Come 2035,hili limewezekana ,ni kwa uwezo wa Mungu,Mwamba ndo jina lake.

Yani kashinda atatoka KARIBU na Maji Mengi na kwa kuvua kwake samaki akiwa mdogo amelielewa neno la nabii Yona lile la siku tatu naye kaliishi kama ulivyokuwa mwanzo wa majira ya kukubalika kwangu.

Amekuwa yeye kwa kumbukumbu pa shule alipopakalia kwa kiti cha juu., Ni nani kama si yeye tena tuliyesadiki kwake na leo neno la nabii mwimbaji wa taifa lake yule wa kike na neno hili limetimia juu ya nchi yake na dunia kwa watu wote.

je sikuyapokea maombi yenu juu ya mateso yenu na nikamwambia huyo aliyefanya kazi mahala pa dhahabu je hakuwaambia kwa nini nimemruhusu shetani afanye hivo,Vyote nimewapa mimi kwa nini Kujivuna na kuwa na kiburi juu ya watu wangu huku mkiwadanganya kwa maneno mazuri ya haki ingali hamuyaishi.

Sikufurahi kwa kweli,Msifikiri kama ijavyo mvua nami nitakuja hivyo hapana mimi ni wakati kama ulivyowakati huu.

Ameyatia mhuri maneno ya mtume Paulo ya kuwa ni ya kweli na Yalitoka kwa Mungu.

Huyu ndiye aliyengojewa tangu na tangu kwa uthibitisho wa kielelezo changu yaani Kurejea kwangu tena.

ISAYA SI NABII WA MAJIRA YOTE basi Isaya 53 sura yote na muwe wa kuisoma vema,ameitwaa nafasi ndogo kwa kipimo cha mara mbili kama alivyoshuhudiwa kwa neno la nabii Daniel 2,39 kwa sheria ya Taifa lake na nimemkabidhi juu yenu wote mahala pa taifa langu na kwa watu wote wa hapo duniani naam amewaita kwa Neno langu.

Yaani amepita mahala pale pa elimu kwa ufanano na kiongozi wa tatu wa taifa lake alivyoishi akiwa masomoni kwa neno la majaribu lile la nabii mwimbaji yule wa kike yaani lile la sheria ya Ayubu kama alivyosema Kwenu,Yeye alishudia kwanza namimi nikamshindisha.

Yaani amekuwa kiongozi wa juu zaidi kwa mahala pa elimu walipomkataa na hii baada ya kurudi tena pale kwa ushuhuda wake

kwa neno hili amekua na kuliishi 1timotheo 1,12~19,huyu aliyaishi maisha ya mahala alipokataa nebkadnezaa ila yeye kwa kuanzia mateso yake nabii alikuja mbele yake kwa kilugha cha kwao yeye ndo heshima na nguvu ya neno la Mungu

huyu ndiye ametia Mhuri juu yetu juu ya kuwa neno la Mungu ni kweli kwa uwezo wa Mungu na roho mtakatifu ajaye ndani yetu

,Ameshinda mahala pa Wokovu wetu yuko kifuani, amevikwa vitani safi na mavazi meupe na shingoni mwake limo taji la ushindi na Amekaribishwa kwa furaha na Majira yamebadilika nasasa ni wakati wake

Je hamjui juu ya majira kubadilika na 0 si kitu bali moja ndo thamani ya mwanzo na mafumbo haya msiyajue mtanijua mimi kwa haki yote kweli? Kwenu wote wakuu na kuinama kwenu si kwa uwezo wake bali kwa uwezo wa Mungu juu ya neno langu nililomwapia.AMESHINDA.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Unaota au unaongea tu ili kujifurahisha? Kwa kiwango cha uwoga wa Watanzania ninayoijua, CCM kuondoka madarakani itachukua karne nyingi mnoooo.

Yaani katika dunia ya leo pamoja na utandawazi, elimu na teknolojia ya mawasiliano uliyopo bado CCM waliweza kuvurga uchaguzi na kuingiza makada wao zaidi ya asilimia 90 kwenye bunge, na hakuna hata wananchi walioonyesha hasira na kutokuridhishwa na matokeo ya uchaguzi kwa namna yoyote ile? Alafu itegemee kwamba ipo siku CCM itakubali tu kiulaini eti tuandike katiba mpya, au tufanye tume ya uchaguzi iwe huru?

Mimi ndoto za mchana sipendi kabisa. Watanzania ni mazezeta ndo maana wanatawaliwa kindezi na watatawaliwa bado na CCM kwa miongo mingi sana.

Yaani kiongozi wa upinzani anakamatwa kindezi na kubambikiziwa kesi eti badala watu wakinukishe wanabaki kusubiri mataifa ya kigeni yawapiganie na wanafurahi kuona wawakilishi wa mabalozi wakijumuika nao mahakamani?

Badala ya kuitumia hiyo kama fursa, wakinukishe ili jumuiya ya kimataifa ione dhahiri kwamba watu wamechoka waingilie kati kwa kuwasaidia kuibana serikali. Kwa utulivu uliyopo bongo, hakuna serikali ya nje inayoweza kuibana CCM kwasababu itakuwa ni uchokozi wa wazi kabisa ila pangetifuka, uchumi uvurugwe hasa na pasikalike, mbona wangetafuta wapatanishi na kuunda tume huru?
Mkuu unachosema ni sahihi ila watu waliolala kama Watanzaniania ni rahisi sana kuwabadili na kuona uhalisia,tatizo ni kuwapata ma strategist wa kufanikisha inabidi mipango ya kukunukisha ifanyike mikoa yote kwa wakati moja na iwe mfululizo kwa siku angalau 3 watu wataamuka.lakini hakuna wa kufanya hivi zaidi ya CDM na CDM nao mipango yao imekaa kioaga oga
 
Kila la kheri katika safari yenu ya kutaka kuchukua nchi

Lakini pia msisahau kumpelekea mwenyekiti wenu sabani na dawa ya meno kule segedanse
 
Back
Top Bottom