Pre GE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alipaswa kupewa mtu yeyote aliyekuwa mtiifu kwa jiwe. angepewa kakulwa nchi ingeenda vizuri sana.
Kwa kipi alichofanya Bashiru Ally kudhani angefaa kuwa Rais? Kama tu alikana msimamo wake wa katiba mpya ili apewe ubunge sidhani kama angetupeleka kokote. Angeturudisha kwenye sera za ujamaa, he would be worse than Samia.

Kingine kama JPM alimteua Samia kuwa makamu na hakua mtiifu kwake ni kosa la Samia au JPM? si mlisema JPM alikua genius kama!! Kama tu succession plan ya kuandaa Rais ajaye alishindwa huo ugenius wake uko wapi?
 
Hiyo siku haitokaa ije. Political carriers zao zimeshakuwa supressed others zinaowenda kuisha soon. huwez ku attack mfumo wakati upo ndani ya mfumo
 
Ndio maana wezi na mafisadi waliweka mkakati wa kumsifia tangu siku ya kwanza, wakaandika matangazo nchi nzima kumbe lengo ni kuficha udhaifu wake na wao waendelee kula kwa urefu wa kamba zao
 
Mambo hayaendi kabisa,una maanisha nini?

Mambo yamesimama,thibitisha.

Mwisho ungesema ipo siku wataenda kunyea debe
 
Usitukane watu,kwanini umuite mwenzio kichaa,kama haukubaliani nao tafuta namna nyingine.
 
Kwani ilipokua chini ya dikteta ilitusaidia nini? Mbona CCM walikua wanaiba kama kawa na hakuwahi kufungwa mtu. Rejea ripoti ya ukaguzi wa mali za CCM nani alikamatwa? Kesi ya makinikia nani alikamatwa?
Tatizo lenu chadema mnawaza madaraka na kuiba.

Hata kama nyie ni Wachagga hamtapewa hii nchi maana wizi upo kwenye damu zenu.
 
Wakiwa wanatembea Kuna mtu akaropoka huko tuendako naona Kuna mwanga wenzake waka shangilia Sana. afadhari MAANA tumetoka kwenye giza, badaee. Alaa kumbe ni mchawi
 
Tatizo lenu chadema mnawaza madaraka na kuiba.
Jibu swali, Rais alipokua dikteta mbona makusanyo ya kodi ni madogo kuliko huyu Rais samia anaye cheka cheka? Udikteta ulisaidia nini sasa? Nimekuuliza pia kama udikteta ndio suluhu, hao wezi wa mali za CCM na makinikia walipelekwa mahakama ipi? Jibu haya maswali sio kulialia.
Hata kama nyie ni Wachagga hamtapewa hii nchi maana wizi upo kwenye damu zenu.
Pole sana umejaa ukabila kama JPM, CHADEMA ina nguvu kigoma kuliko hata uchaggani in fact kura za Urais kwa wagombea wa chadema huwa nyingi Kigoma kuliko uchaggani!! Endelea kuwaza wachagga ukija kushtuka makabila yote yameshaikataa CCM!!
 
Sio tusi ndio maana nimeweka hizo quotation marks. Kichaa ni msemo wa JPM kumaanisha kiongozi mkali mkali asiyekuwa na aibu kuchukua hatua.

View: https://youtu.be/n8IaMatQqFM?si=b9xU1rgINKCBXnwT
Sasa kama Magufuli alikua na maana hiyo...

Bashiru na Kabudi wana ubaya gani...

Mheshimiwa Samia ni raisi wa tatu tangu tuanze kupata maraisi wanaocheka cheka...

Nchi ilipiga hatua gani kulinganisha na hawa wakali wawili(Nyerere na JPM)?
 
Kigoma mnachokijua ni uchawi na uchawa.
 
Sahihi kabisa kwa hili bomu la kiongozi wa sasa watapata tuzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…