IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank haiwezekani? Mbona mna assets nyingi tu za kupata mikopo mikubwa?

Mnachotakiwa kufanya ni ubora wa Video za vipindi vyenu kuwa na 4K-6K pia mtafute na Graphics Designer mzuri atengeneze longo zenu kwa ubora wa 4K-6K acheni kufanya mambo kienyeji
 

Attachments

  • 20241221_195953.mp4
    82.7 MB
Pich
Picha za hizo4k_6k,!
 
Na upande wa sauti ndo mbaya zaidi. Mfano wakati wa taarifa za habari, ni lazima ukae na remote maana unaweza kukuta sauti inaakuwa juu sana na mara inashuka. Hasa wakiweka matangazo Hali inakuwa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…